Search results

  1. vimon

    Kwa wale ambao wamechoka na kuibiwa Mitandaoni

    Kwa wale ambao wamekuwa wakidanganywa na kutembelea website kama www.taskto-job (toa alama ya dash) na nyingine nyingi hutakaa ulipwe maisha yako yote. Kuna watu wangu wakaribu ambao mpaka sasa wana $500 kwenye account zao za tasktojob lakini hawawezi kutoa na hii yote ni utapeli kwa watu...
  2. vimon

    Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

    Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu". Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa...
  3. vimon

    Taarifa rasmi ya kusitisha mgomo kutoka chama cha madaktari 10/03/2012

    RIPOTI KWA VYOMBO VYA HABARI. UTANGULIZI Baada ya kikao cha madaktari kilichofanyika leo tarehe 10/3/2012. Madaktari nchini kupitia chama cha madaktari Tanzania (MAT), tunapenda kutoa ufafanuzi ufuatao: ... 1. Jamii ielewe kuwa daktari kama binadamu mwingine anayefanya kazi Tanzania ana...
  4. vimon

    Ofisi ya waziri mkuu yageuka kuwa mahakama kuu katika sakata la madaktari

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mahakama Kuu, Divisheni ya Kazi, leo (*Alhamisi Machi 8, 2012) *imetoa ... uamuzi wa kusitishwa mara moja kwa mgomo wa Madaktari ulioitishwa nchi nzima tangu jana (*Jumatano Machi 7, 2012). Katika amri yake ya pili, Mahakama Kuu pia imekitaka Chama cha...
  5. vimon

    Maafa makubwa kutokea serikali ikijaribu kufanya haya kwenye mgomo wa madaktari

    Kutokana Taarifa zilizonifikia punde wakati nikipita katika hospitali zetu za rufaa na Kuongea na baadhi ya Madakatari kuna mpango ambao serikali ikiutekeleza itakuwa kwenye wakati mbaya na inawezekana ikamfanya mkuu wa nchi atishi uchaguzi wa uraisi mapema kabla ya 2015. Mambo haya ni...
  6. vimon

    Pinda ahalalisha mgomo wa madaktari,huku wanaharakati wakimwaga mboga,haponi mtu kesho.

    Pinda amekamilisha mkutano na waandishi wa habari hivi punde na meseji ya kubwa kwa madaktari ni kuwaambia kuwa serikali haiwezekani kushinikizwa na madaktari na kuwafukuza mawaziri Mponda na Nkya. Hivyo, kama wanataka kugoma, wagome tu. Legal and Human Rights Centre Mkutano wa Wanaharakati...
  7. vimon

    Tamko la wanaharakati kuhusu mgomo wa madaktari, mkutano mkubwa kufanyika kesho

    Legal and Human Rights Centre Tangazo Mkutano na Waandishi wa Habari Kuhusu uwezekano wa kuwepo Mgomo Mwingine wa Madaktari Mwananchi yeyote anayeguswa na suala la tishio la mgomo wa madaktari, mnaalikwa kuhudhuria kwa wingi mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika kesho, Jumanne, Machi 6...
  8. vimon

    Mkutano wa madaktari NSSF Water Front

    KIKAO NDO KINA ANZA Dr. Namala ameonge na anasisitiza kikao kiwe brief na detail, Dr. ulimboka kaongea amekwisha toa muhtasari wa mkutano wa tarehe 9/2/2012. Dr. Namala anasisitiza sababu zilizosababisha kuhitilafiana/kutokukubaliana na meza ya majdiliano ya serikali. Madaktari wanatoa...
  9. vimon

    Ubunge uwe utumishi wa umma,mshahara 957,000/ kama daktari anayeanza kuanzia 2015

    kutokana na wabunge kupenda posho na marupurupu mazuri na ubunge kuwa juu ya Engineer Daktari Mwalimu Mhasibu Nesi Secretary Napendekeza walipwe kwa scale ya tanzani hivi kweli watakimbilia bungeni,Tanzania itakuwa na maendeleo Kigezo kingine mbunge lazima awe na degree ya somo lolote...
  10. vimon

    Hamuze kutunyanganya vyeti au elimu,mnaweza kuchukua leseni zenu.

    pinda huwezi kutudharau madaktari kwa taarifa yako tuna uwezo wa kuondoka au kusoma vitu vingine poatgraduate. Kwa hiyo watch out hii vita utachemsha kwa sababu kutibu huwezi na umekurupuka.
  11. vimon

    simu na sms za vitisho kuna haja ya kusajili lini? Je TCRA ifungwe?

    watu wengi wanasiasa,raia wa kawaida wamekuwa wakipokea simu au message za vitusho kutoka kwa number zisizo julikana tumesajili number lakini haisaidii. Hata kipindi cha uchaguzi zulitumika kuwakashifu watu.
  12. vimon

    Nyoni, Mtasiwa, Mponda, Nkya Must go!

    Kutokana na taarifa yake ya jana kuwa ametatua matatizo mengi ya madktari na ukiangalia bado madktari wana matatizo lukuki,pili alikataa kuwasikiliza. Nyoni,mtasiwa,mponda,nkya must go
Back
Top Bottom