Search results

  1. NGULI

    Indian tech giant plays dirty in East African IT Market turf war

    India. (News of The South) -Indian company, Techno Brain, which has a massive footprint in the technology and software industry is feeling the heat after fierce rival, Twenty Third Century Systems (TTCS) – a pan African major, entered the fray, securing coveted tenders to upgrade government...
  2. NGULI

    Rest in Peace Comedian Joan

    "Comedian Joan Rivers has died in a New York hospital, her daughter says." -- CNN CNN.com - Breaking News, U.S., World, Weather, Entertainment & Video News
  3. NGULI

    2015 Ubunge Moshi vijijini hapatoshi ni Kati ya Cyrili Chami Dr. VS Hansi Mmassy

    Cyrili Chami na Hansi walikutana kwenye kinyang'anyiro cha ubunge 2010 wote wawili kupitia tiketi ya CCM. Chami alibwaga Hansi na kupeperusha bendera ya CCM, ambako final Chami alipambana na komu wa Chadema na alimshinda Komu na kuwa Mbunge wa Moshi vijijini. Kwa sasa Chami amekuwa akitoa kauli...
  4. NGULI

    Arusha I salute you!

    Niliamua kutumia week end yangu na marafiki Arusha mjini tukitokea Dar, kwa kifupi nimefurahishwa sana na maisha ya wakazi wa Arusha na hizi ndio tofauti zao kubwa na na sisi wa Dar, 1. Wanapenda sana quality na sio quantity- hata ukiangalia magari yao wana ya pim vizuri sana, wanayaosha yana...
  5. NGULI

    The 7 Most Expensive Homes in the World

    While many of us live our lives in a small hovel we call home, there are plenty of others at the opposite end of the spectrum, living in some of the world’s most fantastically expensive houses. Some of these properties are available on the open market—if you have enough money. Some are not. But...
  6. NGULI

    The Secret- Book Unaifahamu hii theory? Je unaiamini?

    Kwa waliosoma hichi kitabu mnakionaje? kitabu hiki kimeandikwa na mwanamama Rhonda Byrne kimekuwa kitabu bora katika mauzo kwa mwaka 2006. ''Kitabu kime base katika law of attraction ambayo ina kwamba positive thinking can create life-changing results such as increased wealth, health, and...
  7. NGULI

    Unaelewa kazi halisi ya kundi hili?-The knights of Malta

    The knights of Malta, ni kikundi cha kanisa katoliki ambacho kilianzishwa kipindi cha middle ages. Ukiangalia classification yake kimegawanyika katika makundi makuu 3 kama nilivyo quote hapa chini;- ''Members of the First Class are Knights of Justice, or Professed Knights, and the Professed...
  8. NGULI

    Establishment of Private Intelligence Agency in Tanzania

    Ndugu wa Jukwaa hili wasalamu, Kuna yeyote anayejua sheria za Jamhuri ya Muungano zinasemaje kuhusu kuanzisha PIA ( Private intelligence agency) kwa Africa wenzetu wa SA wanazo na zinafanya kazi vizuri sana kwa kusaidiana na serikali. Mimi ningependa kujiajiri kwa kuanzisha taasisi hio ambayo...
  9. NGULI

    Akina Dada kwa mbinu za kusaka hela wanatisha

    Kadri Mbinu zao zinavyozidi kujulikana ndivyo na wao wanavyobadili mbinu na kuja na New Models za kufikisha Ujumbe WANAITWA WANAWAKE Ile style yao ya Bebi naomba Laki 3 nna shida ntakurudishia after 1 week ilifeli..Ikaja ya Baby naomba Laki 1 ya Saluni nayo ime-expire...SASA WANA MUPYAAAA,Bado...
  10. NGULI

    How to Become an Intelligence Officer

    Being an Intelligence officer means being a spy. You do the kind of things, like surveillance, and analyzing to help your country. However, there are a lot of myths about being an intelligence officer as well. The steps below will teach you how to be an intelligence officer, and how to...
  11. NGULI

    CHADEMA Mnapenda Kujikweza Sana

    Hivi kwa nini huwa mna tabia ya kujikweza sana? Utakuta wachangiaji wa CDM hapa JF wananzaa thread kwa kusema Maneno ya kujikweza ambayo kiuhalisia hayanaka ukweli wowote wanasema hivyo ili kujiridhisha kisaikolojia kuwa ni chama kikubwa kilicho tayari kuchukuwa $ muda wowote. Ukiwa mgeni katika...
  12. NGULI

    Kwa wanyanyua vyuma (Body builders) dont skipy a leg day

    Ni kawaida wapenda mazoezi hasa ya kujenga misuli hawapendi kushirikisha viungo vya chini hasa miguu katika kuijenga kimazoezi matokeo yake wanakuwa na umbo la gitaa. Kitaalam usipopiga weight eneo la miguu itakuwa dhaifu sana na hata ukikatwa mtama na mtoto unaanguka kama gunia la chumvi...
  13. NGULI

    Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

    Inakuwaje wanaume wa Dar tunatembe kimdebwedo kiasi hichi? Biblia yangu inasema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, siamini hata kidogo Mungu anatembea kivivu namna hii (walking aimlessly) wengine hujui kama wanarudi au wanaenda walikotokea. Kuna baadhi ya vitabu vina associate mwendo wa mtu na...
  14. NGULI

    Naombeni mnijuze namna ya ku deal na Boss alieachika....

    Wana JF, katika kitengo nachofanya kazi na report kwa bosi mwanamke na zaidi ni mfupi sana juzi, juzi ameachwa na mume wake (sababu sijui) mume kaondoka kabisa kamsusia nyumba na tayari ka file case mahakamani kwa ajili ya ku process divorce. Bosi wangu huyu amekuwa mkali sana hasa kwetu sisi...
  15. NGULI

    Baraza jipya la Mawaziri kutangazwa hivi punde

    Live from state house, wahandishi wa habari ndio wanasubiriwa waingie ....tetesi ni kuwa nchimbi anaweza kuwa karudi kundini..... ----------------- -----------------
  16. NGULI

    Ugomvi kati ya Nyerere na Malechela Chanzo...

    Wana JF, Katika kipindi cha uongozi wa Nyerere nilikuwa sijazaliwa kwa hio nimesikia kupita watu mbalimbali kuwa Mwalimu Nyerere alikuwa hampenid kabisa Malechela na ilifika kipindi cha uchaguzi ndani ya CCM kwa ajili ya uchaguzi wa atakayegombea urais kupitia tiketi ya ccm Nyerere alisikika...
  17. NGULI

    Yaliyotusibu Serengeti

    Heri ya mwaka mpya JF, Tuliamua kufanya utalii wa ndani kwa kutembelea mbuga ya wanyama ya serengeti, tuliamua kupiga road trip kuanzia dar tukapiga kambi Arusha na siku iliyofwata tukaenda serengeti, Safari ilianza mapema asubuhi mwenzetu mmoja ambaye pia ni member wa JF alikuwa hajafika...
  18. NGULI

    Natafuta mtu wa Kuniloga.

    Wakuu, Nina miaka 4 sasa nafanya utafiti kuhusu kuwepo kwa uchawi sijapata kujiridhisha kihalisia kuwepo kwa ushirikina.Nimetembelea maeneo yote yanayosemekana ni maarufu kwa ushirikina kama Tanga, Sumbawanga, Pemba na Bagamoyo. Huko pemba nimefika maeneo ya wete kuna kamsitu wanasema ndio...
  19. NGULI

    Tofauti kati ya Wanamuziki wa BONGO FLEVA/TZ, wa Kenya na Uganda

    Wakuu wasalaamu, Ni J5 tulivu kabisa naomba tujadili kwa nini wanamuziki wetu hasa wa bongo fleva wana hit ila hawana mafanikio mazuri ya kiuchumi ukilanganisha na majirani zetu kenya na uganda. Wanamuziki wa kizazi kipya/Bongo Fleva walimkapeni rais Kikwete na hatimae akashinda kwa kishindo...
  20. NGULI

    Rais Kikwete kama Baba yangu Mzazi...

    Ndugu zangu wana JF, Naomba nizungumze hili kwani nisipozungumza nikifa mbingu itaniuliza. Mimi binafsi nampenda sana rais wangu Kikwete, huwa namwona kama baba yangu na sio Rais. Huwa inafika kipindi napenda kuangalia taarifa ya habari nimuone baba yangu aki address National issues. Hata...
Back
Top Bottom