NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,802
- 641
Inakuwaje wanaume wa Dar tunatembe kimdebwedo kiasi hichi? Biblia yangu inasema tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, siamini hata kidogo Mungu anatembea kivivu namna hii (walking aimlessly) wengine hujui kama wanarudi au wanaenda walikotokea. Kuna baadhi ya vitabu vina associate mwendo wa mtu na thinking capacity.
Tembea actively, kuwa sharp vuka barabara haraka pia fanya mazoezi ya kutembea au jogging mara kwa mara kula vizuri ili uwe na mwili mzuri mwanaume anakuwa na mtumbo mkubwa na tumbo la nyuma/big bottom(nimakata ukali wa neno) utazanishia kifusi matokeo yake mtu anakuwa kama gogo.
Sasa kuna wengine kutembea na kuzungumza vinalandana hili ndio balaa zaidi.