'You won't find faith and hope down a telescope,
You won't find heart and soul in the stars'
'Science and faith' ni albamu ya pili kutoka katika kundi la wanamuziki wa rock kutoka Ireland iliyotoka mwaka 2010. 'sayansi na imani' ni jina la wimbo lililobeba album hiyo.
Walijaribu kuelezea...
Habari ndugu mdau,
Baada ya salamu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada kama inavyo jieleza. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha, mayowe ni mengi sana kila kona kwenye mvua.
Bahati nzuri hizi mvua sio mwaka huu tu ndio zinanyesha, miaka yoote zinanyesha lakini akili tuko nazo...
Rejea kichwa habari hapo juu.
Tukiwa tunasubiria Sekeseke la 'kupiga pepa' tufaulu ndio tuajiriwe hebu tupeane dondoo za hapa na pale.
Pepa' itakuaje na labda itakuwa ni content based kwendana na somo au itakuwa teaching methodology.
Au tusikilizie tu liwalo na liwe?
Habari,
Tukiwa tunaendelea kuugulia na kujifariji kwa yale yaliyotokea jana kwa timu yetu ya taifa (Tanzania) dhidi ya Morroco, leo nakupa wataalamu wa hat tricks tokea mashindano haya yameanzishwa kama ifuatavyo;
1. Ad-Diba (1957)
2. Mahmoud El-Gohary (1959)
3. Mohamed Morsi Hussein (1963)...
Nipo na haraka sana. Hebu ona. Leo ni ile tarehe 17/1/2024 kila mtanzania mpenda michezo alikuwa anasubiria ifike saa mbili kamili ili apate fursa kuitazama timu yetu pendwa, Taifa Stars akicheza dhidi ya Morroco.
Natazama first eleven nakutana na kitu cha ajabu. Unawaazisha wachezaji ambao...
Habari mdau,
Kama upo Mbeya, Nanenane au Tukuyu inajishughulisha na duka la pembejeo na una mbegu za Mchongoma kwa ajili ya fensi.
Tokea chap nikupe dili.
Asante.
Tanzania ni moja kati ya nchi chache zilizobarikiwa kuwa na rasilimali za kila aina. Mabwawa, maziwa, bahari na mito. Madini, misitu na milima.
Wote tunafahamu kwenye maji tunapata nini, aina zote za samaki, dagaa mashuhuri zinapatikana kuanzia migebuka, Sato n.k.
Ukija kwenye madini...
Tanzania ni moja kati ya nchi chache zilizobarikiwa kuwa na rasilimali za kila aina. Mabwawa, maziwa, bahari na mito. Madini, misitu na milima.
Wote tunafahamu kwenye maji tunapata nini, aina zote za samaki, dagaa mashuhuri zinapatikana kuanzia migebuka, Sato n.k.
Ukija kwenye madini...
Wanajamii salama? Muhali gani?
Katika hali ya kawaida kabisa kila sehemu, mahali kuna hali yake fulani ya tofauti. Inaweza kuwa hali ya hewa, hali ya kiuchumi, hali fulani hivi ya utulivu.. burudani nakadhalika.
Kila sehemu kuna mambo yake na nyakati zake. Kuna watu sasa hivi ndio wanarudi...
Habari wana jamvi wenzangu.
Bila kupoteza muda, lengo kuu la kuandika uzi huu ni kutaka kujua ni vyuo gani mashuhuri kwa kutoa kozi za ukocha hapa Tanzania. Wajuzi mpo, naomba kujua.
Nawasilisha.
Imani ya kichawi inahusu imani katika uwezo wa nguvu za kichawi au uchawi kushawishi mambo katika ulimwengu. Imekuwa sehemu ya tamaduni na mila nyingi duniani kote, na inaweza kutofautiana kulingana na eneo, dini, au imani ya watu.
Imani za kichawi zinaweza kujumuisha mambo kama vile uchawi wa...
Leo ni siku ya wafanyakazi Duniani.
Majobless inatuhusu pia kujua nini kinaendelea duniani. Kujua tu inatosha.
Sasa kwenye mada moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Haki au amani, wewe unachagua nini?
Nasoma maoni yako.
Habari za muda huu ewe mdau wa JF popote ulipo.
Heri ya sikukuu ya muungano.
Ndoa za utotoni moja kati ya hoja imetawala Sana siku za usoni ukitoa ile ajenda ya wale masodoma na gomorrah... imetokea sintofahamu kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa. Ukija kwenye dini wanayo, Ukija kwenye sheria...
Pasaka imepita, leo si EID?
Maisha raha sana kama unaishi kwa upendo na amani kwa watu wanao kuzunguka. Life la kigheto kama unavyojua Uswahili hapa na pale na ukizingatia leo ni sikukuu tukisherehekea kumalizika kwa mwezi mtukufu.
Asubuhi ya leo kumekucha na mvua iliyoanza kunyesha alfajiri...
Habari mwana jamvi,
Kama upo humu na unajihusisha na kilimo cha miti ya matunda na maua. Kama upo Tukuyu hebu fanya kunitumia private message hapa Upate hela ya pasaka.
Habari mwana jamvi...
Jambo lolote ili lifanikiwe lazima liwe na misingi. Misingi lazima iwe na utaratibu. Utaratibu lazima uwe na mpangilio. Mpangilio lazima uwe na....malizia!
Unakumbuka niliwahi kubandika bandiko humu kuhusiana na yale mambo manne. Jambo la kwanza lilikuwa ni
1. Watu
2...
Shaloom
Mwishoni mwaka jana niliwahi kuandika uzi kuhusu Salam yetu enzi hizo shule ya msingi ambayo ilibeba maana kubwa sana.
Ili tuendelee tunahitaji mambo manane;
1. Watu
2. Ardhi
3. Siasa safi
4. Uongozi bora
Ukiangalia kwa hali tuko nayo sasa ile salam maridhawa haina maana tena kwa...
Habari za mausiku,
Mmelala sio, mkiamka mtaikuta.
Jana nilianza safari kutokea Tukuyu kwenda Tanga. Tukuyu, Busokelo ndani ndani huko. Ipo changamoto ya usafiri ya hatari. Na kama unavyojua shule zinafunguliwa kwa hiyo usafiri ni 'mtihani' kwelikweli. Bahati mbaya zaidi hakuna basi la moja kwa...
Si ni life..
Nyakati kama hizi wapo wanaelekea kulala au wamelala tayari.. Wengine wamelala kama panga,
Wengine wapo na wapenzi wao wanapasha vitanda joto. Wengine baridi inagonga kama walinzi.
Wengine wapo kwenye hotline bring talking with their babies.
Wengine wanamsikiliza diva the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.