Kozi ya ukocha

o_2

JF-Expert Member
Jul 20, 2017
348
287
Habari wana jamvi wenzangu.

Bila kupoteza muda, lengo kuu la kuandika uzi huu ni kutaka kujua ni vyuo gani mashuhuri kwa kutoa kozi za ukocha hapa Tanzania. Wajuzi mpo, naomba kujua.

Nawasilisha.
 
Kwa kuanzia ni vyama vya Soka katika wilaya husika, utaanza na grassroot then diploma ngazi D,
Kama upo Dar, Kigamboni watakua na kozi ya kocha ngazi ya awali kuanzia tar 15 Dec,
Kikubwa unapaswa kujua Kuna ngazi ya ukocha ukifika lazima uwe na timu ya kufundisha,
Hupaswi kukaa tuu na elimu yako
 
Attachment
IMG-20231110-WA0008.jpg
 
Kwa kuanzia ni vyama vya Soka katika wilaya husika, utaanza na grassroot then diploma ngazi D,
Kama upo Dar, Kigamboni watakua na kozi ya kocha ngazi ya awali kuanzia tar 15 Dec,
Kikubwa unapaswa kujua Kuna ngazi ya ukocha ukifika lazima uwe na timu ya kufundisha,
Hupaswi kukaa tuu na elimu yako
Well narated hakuna cha kuongeza hapo labda afuatilie page za tff huwa wanatangaza mafunzo namna ya kuomba na ada
 
Back
Top Bottom