Kuna foleni sana kila siku ya malori hasa muda wa asubuhi Kigamboni na njia ya Posta. Serikali iweke utaratibu maana wakazi wa Kigamboni kusipokuwa na malori hamna foleni kukiwa na malori ni...
Mimi ni mwajiriwa Mpya Manispaa ya TEMEKE, Dar es Salaam, March 6, 2026 tuliwekewa fedha kwenye account zetu waajiriwa wapya Idara ya Msingi, jumla ya Walimu 77 tuliwekewa fedha kwa wastani kila...
Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026.
Wananchi...
Ziwa lipo jirani ila Wananchi wa Nyashishi na Usagara (Mwanza) hatujawahi kuwa na maji ya bomba
Wananchi wa Nyashishi na Usagara Mwanza tangu Dunia iumbwe maeneo hayo hayajawahi kuwa na bomba la...
Nina mgonjwa wangu ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou-Toure (Mwanza), moja ya changamoto ambayo nimeishuhudia hapa ni kwamba kuna tatizo kubwa sana la umeme kukatika mara kwa...
Sisi ni Watumishi wa Umma katika Kituo cha Afya Mbande tunafikisha ujumbe huu kwa jamii tukitoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi wa matumizi mabaya ya madaraka, uhujumu uchumi, maonevu ya kimfumo...
KATAVI; Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa kaboni, biashara hiyo ipo hatarini kutokana na uwajibikaji usioridhisha...
Wanajukwaa habari za muda huu.
Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF .
Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na...
Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na...
Nimefanya kazi ya kuwauzia milango Wilaya ya Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara tangu Mwaka 2023 mpaka sasa sijalipwa, nimejitahidi kwa kadri nilivyoweza kuonana na wahusika lakini bado hali ni mbaya...
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku
Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi...
Ni zaidi ya wiki mbili Sasa wakazi wa Utemini, Maendeleo, Relini na Maduka Matatu hatuna maji na hakuna taarifa yeyote kutoka MWAUWASA wanatutesa na bili zinakuja kawaida.
Katibu wa wizara ya...
Kwa kipindi cha Wiki 3 sasa Kumekuwa hatupati Huduma ya maji tulipiga simu kwa Dawasa namba ya huduma kwa wateja wanapokea na kusema watatuma mafundi imeishia hapo tukimpigia Meneja amekuwa...
Mzee wangu ni mkulima wa miwa Wilayani Missenyi hapa Mkoani Kagera, moja ya jambo ambalo linanifanya niandike hapa ni kwa kuwa tunapoelekea nitamuona baba yangu anaanza kuwa chizi au kuongea peke...
Hapa ni Arusha mataa ya Sakina Triple A / Arusha technical, Ni zaidi ya miezi minne taa hazifanyi kazi. Tunaomba jiji lishughulikie hili tatizo.
Majibu ya Mamlaka ~ TANROADS: Taa za eneo la...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha UDOM uongeze umakini mkubwa katika usimamizi wa masomo ya postgraduate.
Wanafunzi wengi wa postgraduate wanacheleweshwa kimaksudi na kulazimishwa kulipa pesa nyingi za...
Mfumo wa Ajira Portal wa TAKUKURU kwa watu wanaoomba kwa Level ya Degree na hawajapita form six mfumo unataka cheti cha form six, naomba utufikishie hili maana sio wote walisoma form six wengine...
Serikali hasa TAMISEMI watoe tu uhamisho hata kama hajamaliza miaka mitatu, haswa kwa hawa watumishi wapya!
Kuna baadhi ya wilaya za pembezoni kama mkoa halmashauri zao, watumishi wapya...
Mimi na familia yangu tumefika mara mbili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou Toure baada ya kupoteza wapendwa wetu katika miezi tofauti, tumekutana na changamoto ambayo baada ya kuuliza...
Halmashauri ya Mkalama DC, Singida watumishi wa Ajira Mpya tangu Novemba 2024, Kada ya Afya, hawajathibitishwa kazini hadi sasa ni Mwaka na miezi 5, japo wapo baadhi wamethibitishi kwenye mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.