Responded Threads

Anonymous (c04c)
DOKEZO KERO Responded 
Eneo la Machinjio ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe kuna Daktari wa Mifugo ambaye jukumu lake ni kukagua nyama baada ya ng’ombe kuchinjwa, katika ukaguzi wake amekuwa akiondoa sehemu...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Anonymous
KERO Responded 
Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi? Suala la...
3 Reactions
10 Replies
363 Views
mirindimo
KERO Responded 
Serikali, Wizara ya Maji shida nini? Kuna mgao bado tena mgao mkali Kimara na viunga vyake, wamewakosa nini wale walipa kodi? Tulimwona Waziri wa maji kaenda China kujifunza vipi haijamsaidia...
4 Reactions
12 Replies
539 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kila Kitengo pale TRA kinatakiwa kuwa na customer care yake kama haiwezekani hivyo basi wagawe majukumu hata kidogo, wasiwe general tu or else wapewe authority ya kila kitu kwenye this new system...
1 Reactions
1 Replies
179 Views
Anonymous (c723)
KERO Responded 
Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi...
1 Reactions
3 Replies
232 Views
Anonymous
KERO Responded 
Watumiaji wa Stendi ya NaneNane Mkoani Mbeya tuna changamoto inayohusiana na usalama wetu, kwani nyakati za Usiku abiria wanaoshuka hapo wanakutana na giza kwa asilimia kubwa. Taa zipo ila...
2 Reactions
1 Replies
153 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Ukifuatilia ziara ya Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba ya hivi karibuni; utabaini kuwa kuna mamia kwa maelfu ya wananchi hujitokeza kwenye mikutano yake wakiwa na mabango, mafaili, nyaraka za...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
Anonymous (bbf7)
KERO Responded 
Hii ni barabara ya Tarime Mjini – Nyamongo, iko katika hali mbaya na wahusika wala hawajali. Viongozi wanaohusika na Barabara na wale wengine wote hawalioni hili? Ubovu huu ni chanzo cha...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Mawele
KERO Responded 
Kuna chemba ya maji taka inayotiririsha uchafu kando ya Soko jipya la Kariakoo, ambalo limezinduliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan. Chemba hiyo ipo kwenye kona ambapo daladala za...
1 Reactions
4 Replies
277 Views
Miss_Mariaah
KERO Responded 
Habarini za mchana, Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi. Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku...
24 Reactions
175 Replies
8K Views
Kijukuu cha Tanzania
DOKEZO Responded 
Stendi ya Mwenge ambayo inasimamiwa na Halmashauri ya Mansapaa ya Kinondoni ina mwaka mzima tangu ilipoanza kutumika, ambapo miundombinu mingi inayozunguka kituo hicho cha daladala imekamilika...
1 Reactions
0 Replies
246 Views
Anonymous
KERO Responded 
Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda. Tunaomba...
3 Reactions
9 Replies
269 Views
Anonymous
KERO Responded 
Tumeona ziara ya Waziri Mkuu ikitupa picha halisi juu ya uzembe na kutokuwa na uwajibikaji wa uwazi katika Ofisi za Umma. Tunaomba pia Waziri wa UTUMISHI (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Anonymous (66bb)
Responded 
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, huku kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano. Hii ni kero, tumejaribu...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam inakanusha taarifa zinazosambaa katika baadhi ya majukwaa ya kijamii na vyanzo visivyo rasmi, zinazodai kuwa watumishi wa mikataba katika kitengo cha...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Kero yangu ni kuhusu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Najiuliza, je, huwa hawatembei nchi nyingine kuona jinsi wenzetu wanavyotunza bustani zao zilizotengwa kwa ajili ya wananchi kupumzika...
1 Reactions
1 Replies
172 Views
Anonymous
KERO Responded 
Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Kishangazi, Kata ya Shaghayu, Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga. Shule yetu ya Msingi Kishangazi, hapa kijijini ina Mwalimu mmoja tu kuanzia chekechea hadi darasa la saba...
2 Reactions
7 Replies
471 Views
Anonymous
KERO Responded 
Ni zaidi ya Mwezi sasa Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) limebadilisha mfumo wake, sasa website yake imekuwa ina changamoto katika uombaji wa leseni mpya au ku renew ili ku-practice kwenye mwaka...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kuna kero inatukabili Wakazi wa Mbande Kisewe, hii barabara ya kutoka Mbande hadi Kisewe Stendi hapa Kituo cha Polisi kuna dimbwi kubwa la maji linalosababisha usumbufu kwa Watumiaji wa barabara...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Anonymous (646f)
KERO Responded 
Ndugu zangu tunaomba hili suala la meter za maji kuibiwa Moshi likomeshwe, hili jambo nilikuwa naliona kwa wenzangu kila mara mitaa yao wanaibiwa meter lakin asubuhi ya leo nimekuta mita kama tano...
1 Reactions
1 Replies
241 Views
Back
Top Bottom