Mimi ni Mkazi wa Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, huku kwetu Mtaa wa Muheza na mitaa mingine ya jirani kwa takribani zaidi ya miezi mitatu sasa tunapata bili ya maji Unit 0 ikiwa na maana hakuna...
Kwa zaidi ya wiki sasa mtandao wa vibali vya kazi Kazi | ePermit unaosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano haufanyi kazi. Kabla ya kwenda chini kabisa, website ilikua slow...
Mimi ni mtumishi wa mkataba na hudumu katika Kituo cha Afya cha Sinza Hospital (maarufu kwa jina la Hospitali ya Sinza Palestina) kilichopo Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam.
Kero yangu ni kwamba...
Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025.
Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa...
Wiki iliyopita nilienda Zahanati ya Kimara Mwisho kwa ajili ya matibabu ya kijana wangu ambaye hakuwa sawa kiafya, baada ya kufika tulipokelewa na kufanyiwa vipimo vinavyohitajika.
Hata hivyo...
Kumezuka tabia mpya geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kuna baadhi la Jeshi la Polisi wakishirikiana na SUMA wanasimamisha pikipiki kwa kigezo cha kuwakagua na kisha wanachukua pesa kwao...
Wakati Serikali ikiahidi kutoa kiasi cha Sh 200 Bilioni, kwa mikopo ya vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu, baadhi ya Vijana na wanawake wamelalamika kuwa mikopo hiyo inatolewa kwa misingi ya...
Watu waliofanya kazi Zanzibar na wakamaliza mkataba wanaweza kunielewa na kutoa ushuhuda.
Wakati wa kufuatilia mafao unaambiwa uwe umechangia miezi 18 bila hivyo hela hupati hadi ufikishe umri wa...
Kituo cha Afya cha Bunju kimekuwa kikitoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi, hasa katika upande wa kliniki za wajawazito. Mbali na utaratibu kuwa mbovu, pia kuna kutoza gharama kubwa...
Wakazi wa Shekilango jiji Dar es Salaam tunashida kubwa sana ya uhaba wa maji, hatuna huduma tangu mwezi wa Desemba 2025.
Watayafungua wao, wakipenda kufungua na bili za maji kama kawaida yaaani...
Wananchi wa Segerea, Mtaa wa Twiga tunateseka sana kutokana na ubovu wa barabara, hasa wakati wa vipindi vya mvua. Maeneo mengi yamejaa mashimo na mvua inaponyesha hali huwa mbaya zaidi, kiasi cha...
Eneo la Msimbazi jijini Dar es Salaam, hususan kuanzia kituo cha mwendokasi Msimbazi hadi kituo kikuu cha mwendokasi Gerezani kupitia mataa ya Uhuru, usalama wa watembea kwa miguu upo hatarini kwa...
https://www.youtube.com/watch?v=6bYlhfMqEWs
Wananchi wa Kata ya Buza Wilaya ya Temeke wameandamana kutoka Buza Kanisani hadi Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Buza wakiitaka Serikali kurejesha...
TRA Tanzania
Kwa muda sasa tangu mfumo wenu mpya umeanza watu wamekuwa wakipata changamoto ya IP kuwa blocked, yaani mteja anapojaribu kuingia kwenye mfumo anakuwa disconnected.
Sijajua kama hii...
Mimi ni Mfanyakazi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kitengo cha ‘revenue collector’ katika masoko.
Changamoto tunayopata Wafanyakazi wa Mkataba wa Halmashauri ya yetu:
MOJA: Mshahara...
Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo...
Kituo cha Buza Kanisani hiki kilijengwa kwa nia nzuri ila tamaa za mapato na kukosa utu zinageuka kuwa mateso kwa abiria.
Tarehe 18/2/2026 kama ilivyo mwaka jana viongozi wa eneo hili wakitumia...
Sisi Wakazi wa Tabata Segere kwa Bibi tuna changamoto ya Barabara ambayo inaelekea Hospitali ya Segerea, kuna dimbwi kubwa la maji ambalo linazuia wapita njia, pikipiki, na magari madogo kupita...
Kufuatia kujitokeza kwa wingi kwa vitendo vya ulaghai wa Watu wachache wanaowarubuni Wananchi kutoa fedha ili waunganishiwe huduma ya Maji katika Kitongoji cha Makurunge, Kata ya Kiluvya Mkoani...
Yaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.