KWELI Threads

  • Article Article
Je ni kweli Kijiji cha Monowi huko Marekani kina mkazi mmoja?
7 Reactions
24 Replies
2K Views
  • Article Article
Salaam Wakuu, Nimekutana na stori mtaani zinadai kwamba mnamo mwaka 1990 Bondia Maarufu Muhamedi Ali alienda nchini Iraq kuzungumza na rais wa nchi hiyo wakati huo Sadam Hussein kuwaachia mateka...
7 Reactions
7 Replies
3K Views
  • Article Article
Habari Wakuu, Nimekutana na video hii TikTok inayodai hii pande kubwa la theluji lipo Mlima Kilimanjaro na lilikuja kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Kuna ukweli hapa? Naombeni mtusaidie ---
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Wakuu, Nimekutana na video huko duniani, kahawa hii wanapewa tembo wale na tembo hao wakijisaidia inaenda kusafishwa kisha kuuzwa, wanadai eti ikipita kwenye mwili wa tembo inapunguza ladha ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Article Article
"Mama kuwa na umri zaidi ya miaka 35 au Baba kuwa na miaka zaidi ya 40 kunaweza kupelekea kupata mtoto mwenye mtindio wa ubongo, kupata infection wakati wa ujauzito, Mama mjamzito kuumia sababu...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
  • Article Article
Tumefanikiwa kuipata picha hii ambayo inaaminika huyu ndio Gustave. Kuna Mamba katika Ziwa Tanganyika anayeitwa "Gustave" ambaye inadaiwa ameua zaidi ya watu 300 katika miongo kadhaa iliyopita...
21 Reactions
132 Replies
9K Views
  • Article Article
Salaam Wakuu Nimekutana na picha hii ya uwanja uliojaa sana watu kupitiliza, je ni picha ya kweli au masuala ya AI haya?
3 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Article Article
Nimeona kuna taarifa zinadai kuwa kumlaza mtoto katika mitindo tofauti na chali kunawesza kumletea madhara ikiwemo vifo vya ghafla, hili jambo limekaaje?
3 Reactions
0 Replies
4K Views
  • Article Article
Nimesikia na kuona vipande vya video fupi vikidai Mafinga ilinyesha Mvua iliyosababisha barafu kuzagaa mitaani hadi baadhi ya maeneo barabara zikawa nyeupe, nimeona video hizo ila nikapata ukakasi...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Article Article
Nimesikia sehemu kuwa binadamu anaweza kupata usugu wa vimelea kutokana na kutumia mazao yatokanayo na wanyama mbalimbali, mfano wa mazao hayo ni nyama nk. Hofu yangu ni kuwa wafugaji wengi siku...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
  • Article Article
Kuna hili suala la Kuwa Mpanzu amesajaliwa Simba tayari japo bado haijaw wazi ila jambo linalonipa utata ni tarifa z kuwa atacheza kuanzia hatua ya makundi kwa kuwa dirisha dogo litakuwa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
  • Article Article
Kuna video inayomuonesha Edna Cintron akipunga mkono akiwa ghorofani baada ya shambulizi la septemba 11, 2001 nchini Marekani je aliokolewa au alifariki pale pale?
1 Reactions
0 Replies
900 Views
  • Article Article
Nahitaji kufahamu taarifa inayosambaa kwamba dawa za ARV zinatumika kunenepesha mifugo.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha...
5 Reactions
78 Replies
8K Views
  • Article Article
kwanini maji ya mabwawa na maziwa kupwa na kujaa kwake hakuonekani kama ilivyo baharini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Nimeona taarifa ikionesha kuwa unywaji wa maziwa mabichi husababisha ugojwa wa brucellosis na mimi kwa upande wangu nimekuwa nikinywa maziwa mabichi kwa muda kidogo japo sijawahi kuona changamoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Article Article
Kuna magonjwa mengi yanayosababisha upungufu wa Kinga mwilini ikiwemo maambukizi ya VVU. Kumekuwa na mijadala mingi pamoja na tetesi zinazohitaji majibu ya kina kuhusu uwezekano wa kupata...
5 Reactions
34 Replies
17K Views
  • Article Article
Habari wapendwa, kuna taarifa inatembea mitandaoni kuwa Dkt. Slaa amepata taarifa ya Deusdedit Soka ya kwamba atauawa leo na kutupwa msituni, je, Taarifa hiyo ni kweli imetoka kwa slaa? Na ina ukweli?
12 Reactions
63 Replies
8K Views
  • Article Article
Kumekuwa na post ya Jenerali Ulimwengu aliyoichapisha kwenye mtandao wa X kwamba Mwalimu Julius Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa chama chake kuanzia mwaka 1954 mpaka 1977, ukweli wa kauli hii upoje?
0 Reactions
0 Replies
726 Views
  • Article Article
Mdau wa JamiiCheck.com alihitaji kujua uhalisia wa Kipande cha video kinachomuonesha aliyekuwa Rais wa Kenya Mwai Kibaki akizungumza na vyombo vya habari kwamba ana mke mmoja tu kama ni cha kweli...
0 Reactions
2 Replies
749 Views
Back
Top Bottom