Nina jambo ambalo linaumiza sana aisee, ni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenye Kifurushi cha Toto Afya ambayo kinalipiwa Shilingi 150,000/=.
Mtoto wangu amezaliwa na tatizo la...
Kuna baadhi ya baa zinapiga mziki hadi usiku wa manane, sanasana maeneo ya Kinondoni ambapo zipo katikati ya makazi ya watu.
Je, mamlaka zimefuta ile Sheria ya mwisho saa sita usiku au kwa sasa...
Naomba kuwasilisha kilio cha wafanyakazi wa afya kutoka mikoa ya pembezoni kama Kigoma, Mara, Kagera, na Katavi, ambao wamepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo lakini wanakutana na changamoto...
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, Kata ya Baruti Mtaa wa Docha, Shina Namba 7 tuna kero kubwa kuhusu uwepo wa Kanisa (El Bethel Church) lililojengwa kiholela katikati ya makazi ya watu bila kuwa na...
Kero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
Kero yangu ni kuhusu ajira katika kampuni binafsi. Nimefanya kazi kwenye kampuni inayoitwa Temboking Limited, lakini sikuwa na mkataba wa ajira licha ya kukatwa makato ya NSSF kama kawaida. Hii...
Sisi Wananchi wa Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna malalamimo juu ya upatikanaji wa Vyeti vya Kuzaliwa katika Ofisi ya Uwakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, ukihitaji...
Vyuma hivi hata uvipake oil chafu haviwezi legea
Chuma cha kwanza Kwa sisi tunaoishi uswahilini ni shule za msingi za serekali, hizi shule sasa wazazi tunawatumikia walimu bila kujua kibri hichi...
1. Kuhamia watu wanadaiwa kati ya laki 5 hadi milioni unaambiwa mchango wa kitanda lakini kweli kitanda hakuna mtoto atalala chini au watalala wawili.
2. Watoto wanalala wawiwili (kinyume na...
Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu.
Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela...
Nachingwea tuna shida ya maji sana, yaani wapo kimya maji hayatoki, Almost two weeks sasa, Yaan yakitoka ni ndoo 6 yamekata.
Nachingwea Kata ya Ugawaji maeneo ya Shule ya Msingi Majengo polisi...
Kabla ya kupanda kwa mafuta nauli za daladala ilikuwa shilingi mia saba 700/= kwa abiria lakini kila ikifika jioni kuanzia saa 1 na kuendelea hupanda mpaka shilingi elfu moja 1000/=, kila abiria...
Malalamiko yamezidi nimeona nilifikishe hili hapa jukwaani ili Watanzania wengine walifahamu.
Wazazi wamekuwa wakichangishwa michango ya kila siku, michango isiyokwisha, yaani kwa kifupi shule...
Kuna tatizo katika kampuni hizi za kubet wateja wanalalamika wanatoa hela ila hela kwenye account zinatoka betPawa ila kwenye mitandao ya simu hazifiki, tukiwauliza wanasema tuwasiliane na mtandao...
Tunaiomba mamlaka husika kuboresha mfumo wa Ajira Portal. Vijana wengi tunapata changamoto kubwa kupata usaidizi kuhusu mfumo huo kwani namba za mawasiliano hazifanyi kazi na email hazijibiwi...
Wafanyakazi wa Kiwanda cha kuzalisha dawa za binadamu cha Keko (Keko Pharmaceutical Industries - 1997) wameipigia yowe Serikali wakilalamikia bodi na menejimenti, hususan mbia binafsi (kampuni ya...
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Wanging'ombe(WANGIWASA) Waliopo kijiji cha Luduga kata ya Luduga Wamekuwa ni miungu watu kijijini hapa.
Hawawajibiki kabisa kwenye majukumu tao yaani wao muda wote...
Karavati hili lilijengwa kwa nguvu na mchango wa wananchi miaka mingi iliyopita, lakini hadi leo bado lipo katika hali inayotia wasiwasi mkubwa.
📍 Mahali: Mkoa wa Pwani, Mkuranga, Kata ya...
Nimekutana na kadhia kubwa ambayo nilinunua viwanja kadhaa kwenye mfumo wa tausi eneo la bagamoyo. Na mwaka huu mwanzoni nilitaka kufatilia kupata hati ya viwanja vyangu. Ila nilishangaa kila...
Shida ni kwamba hizi kampuni ambazo zinajihusisha na services za home internet zinakuwa kwanza hazisemiukweli interms of amount ya data unayopata, mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.