Mimi ni Afisa Mtendaji niliyeajiriwa mwaka 2024 katika Wilaya ya Hai, Idara ya Utawala. Tangu nianze kazi hadi leo, sijawahi kupatiwa fedha ya kujikimu kama inavyotakiwa.
Kinachoniumiza zaidi ni...
Nimeona taarifa ya DC mmoja akikemea utupaji taka kwenye Fukwe za Bahari ya Hindi. Taka zinazotupwa beach ni chache, kwani nyingi huingia kupitia mabonde ya mito inayopeleka maji baharini...
Mimi ni Mkazi wa Jijini arusha, nina malalamiko yangu juu ya mamlaka ya Maji Arusha niliomba muunganisho wa maji mapya na wakanipa gharama za kulipia, nikalipia kwa muda muafaka ila cha kushangaza...
Tunaomba muangalie na hizi Microfinance zinazo kopesha, riba imekuwa kubwa sana watu wanaumia especially na apps mfano wanajiita flying shilling ili uweze kupewa laki mbili ni lazima ukope laki 4...
Mimi ni mtumishi katika Wilaya ya Hai, nikiwa nafanya kazi kama Afisa Mtendaji tangu nilipoajiriwa mwaka 2024. Tangu nianze kazi hadi leo, sijawahi kupatiwa fedha ya kujikimu, jambo ambalo...
Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ni wiki Sasa hakuna maji, na hakuna maelezo yoyote ya lini maji yatatoka.
Kwa sasa ndoo ya maji inauzwa Tsh 1000 mtaani. Sijajua changamoto ni...
Uyole, Jimbo jipya la Mbunge Tulia Mkoani Mbeya nimelipia huduma ya kuunganishiwa maji safi tangu mwezi wa 4 lakini hadi leo hii tunaambiwa vifaa hamna.
Wanataka tusubiri hadi vitakapo kuja...
Katika Mtaa wa Nguku, Kata ya Nyandoto, Tarime Mjini, wananchi wanaishi katika hofu ya usalama baada ya mkulima mmoja kupanda mabingobingo (Napier Grass) katikati ya makazi ya watu.
Nyasi hizo...
Mamlaka husika zinazingatia sheria gani katika kupandisha madaraja ya watumishi specifically (waalimu)? kwani kuna walioajiriwa July 2022 na kuthibitishwa July 2023.
Baadhi ya wilaya...
Mimi ni mkazi wa Mwanza, na napenda kuelezea changamoto kubwa tunayoipitia kila siku, hasa nyakati za asubuhi kwa wanafunzi wanaotegemea daladala kwenda shule.
Kwa muda sasa, hali imekuwa ngumu...
Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza
Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha...
Makonda wa daladala za Masaki-Gerezani wamekuwa wakichukua nauli iliyozidi.
Nauli ni 700 wao ukiwapa hela kama 1000 na kuendelea wanakukata 800 kwa kisingizio cha kukosa chenji.
Daladala za Mbeya mjini kutoka stand kuu na kwenda sehemu mbali mbali maeneo ya jiji la Mbeya especially Uyole zimekuwa zinatoza nauli ya kianzio cha shilingi elfu 1 kama nauli ya chini hata kama...
Kuna application hii ya kutoa mikopo mitandaoni inaitwa KKPESA naombeni muifuatilie kwa ukaribu sana.
1. Riba zao ni kubwa na inatakiwa mkopo ulipwe kwa muda mfupi sana siku 7.
2. Siku ya 6...
Pembezoni mwa Hombolo Dam serikali ilikuja na project ya kupanda miti
Na kukafanyika uzinduzi, mahema , misafara ya viongozi. Kumbuka hekaheka zote hizi zinafadhiliwa na pesa za walipa kodi...
Msewe Chief Kunambi Maji yamekuwa shida tangu November 2025
✅️ Mvua ikinyesha maji nayo yanatoka, Ikikatika maji nayo yanakatika.
✅️ Tunamaliza wiki mbili bila maji ya mgao, yanaweza toka usiku...
Ni kuhusiana na agizo la serikali kuhusu kima cha chini cha mshahara kuwa shilingi 308,000. Pamoja na maelekezo hayo kutolewa na kurudiwa mara kadhaa, kuna baadhi ya makampuni bado hayatekelezi...
Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa...
Sisi Watumishi wa Afya kutoka Wilaya ya Geita DC tulioajiriwa kuanzia mwezi January 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu na uongozi wa hautupi ushirikiano wowote.
Soma Pia: Simiyu Itilima DC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.