KERO Threads

Anonymous (6198)
KERO 
Mimi ni Mwalimu ambaye nimeajiriwa chini ya mradi wa GPE-TSP Mjini Musoma ambao unasimamiwa na TAMISEMI, tangazo la kuitwa kazini lilitutaka turipoti kuanzia 18/8/2025 na mwisho ilikuwa 31/8/2025...
1 Reactions
3 Replies
438 Views
Anonymous
KERO 
Kuna zoezi la ukamataji wa pikipiki na bajaji linaloendelea mjini, lakini utekelezaji wake unaacha maswali mengi. Baadhi ya wanaotekeleza zoezi hilo wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Habari za kazi ndugu zangu. Kuna kampuni mbalimbali zinazodai kutoa mikopo kupitia apps (applications), lakini matokeo yake zimekuwa zikilalamikiwa kwa kudhalilisha watu, kutoa vitisho, na kutoza...
4 Reactions
66 Replies
908 Views
Kuna changamoto kubwa katika ufuatiliaji wa mafao ya PSSF. Kwa nini baadhi ya miezi huonekana kama unremitted wakati mfanyakazi anapochapishiwa Contribution Summary? Mara nyingi unakuta kuna miezi...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Anonymous
KERO Responded 
Tunapenda maendeleo na tunaipongeza Serikali kwa juhudi zake za kuboresha miundombinu kupitia ujenzi wa barabara za mitaa. Hata hivyo, si vyema mradi unaolenga kuwaletea wananchi maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Mfumo wa Ajira Portal haueleweki na umekuwa kikwazo katika kutuma maombi ya kazi. Tangu mwaka 2025, ninapojaribu kuingiza NIN yangu, mfumo hunionesha kuwa tayari imeshatumika, hali inayonikwamisha...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Anonymous
KERO 
Baadhi ya watumishi wanadai kuwa watumishi ajira ya Juni mwaka 2022 waliitwa kwenye kikao na Mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe na kuambiwa hawastahili kupanda madaraja yao na kwamba hata...
1 Reactions
7 Replies
191 Views
Anonymous (0740)
KERO 
Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Watumishi Walimu ajira mpya wananyanyaswa sana katika ngazi ya halmashauri, baadhi ya halmashauri hazilipi hela ya kujikimu kwao, fikiria kaajiriwa toka January ya 2025 hadi sasa hajapewa hela ya...
1 Reactions
10 Replies
301 Views
Anonymous (783e)
KERO 
Hii kero naomba kuipeleka moja ka moja kwa mkuu wa shule ya sekondari Bundikani iliyopo Halmashauri ya mji wa Kibaha. Kwa sasa uhamisho wa wanafunzi unafanyika kupitia mfumo so ni suala la mzazi...
0 Reactions
2 Replies
138 Views
Anonymous
KERO 
Natoa rai kwa mamlaka husika kufuatilia hali mbaya ya miundombinu ya choo katika stand ya Bweri Musoma. Vyoo hivyo vimekuwa kitishio kwa afya na usalama wa watumiaji kutokana na uchafu na ukosefu...
1 Reactions
3 Replies
117 Views
Anonymous (ca61)
KERO 
Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma. Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
171 Views
Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili...
4 Reactions
11 Replies
199 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mtumishi kutoka Halmashauri ya Handeni, sisi Walimu wa Biashara hatujathibitishwa wakati tayari wenzetu tulioingia nao kazini wao tayari... tumereport kazini tangu February 2025 sasa hivi...
1 Reactions
6 Replies
128 Views
Anonymous
KERO 
Mimi Fundi Sanifu Maabara (Laboratory Technician 1), ni mwajiriwa wa Serikali mwenye uzoefu wa miaka 8 sasa. Mimi na wenzangu wote tunaofanya kazi chini ya Idara ya Elimu Sekondari Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
204 Views
monte caro
KERO Responded 
Habari, kuna tatizo naona since November 2025 barua za mwisho kutoka hadi sasa kuna strikes imewekwa kuzuia barua ambazo tayari ziko ofisi ya katibu mkuu kuto sainiwa ikisemekana uhamisho wote...
3 Reactions
4 Replies
494 Views
Nipo Morogoro. Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ina maeneo ya biashara ambayo wafanyabiashara wadogo hupanga kwa gharama ya shilingi elfu hamsini. Hata hivyo, maeneo hayo yamechukuliwa na...
0 Reactions
3 Replies
148 Views
Anonymous (1d2e)
KERO 
Naomba mamlaka husika zifuatilie kinachoendelea katika Shule ya Msingi MAFIGA, Morogoro. Wanafunzi wanatakiwa kupeleka TSh 1,300 kila siku, TSh 1,000 kwa kila mtihani, na kulazimishwa kuhudhuria...
3 Reactions
17 Replies
196 Views
Natoa rai kwa mamlaka husika kufuatilia hali mbaya ya miundombinu ya choo katika stand ya Bweri Musoma. Vyoo hivyo vimekuwa kitishio kwa afya na usalama wa watumiaji kutokana na uchafu na ukosefu...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Ulongoni A karibu na Bar ya Magogoni, Mtaa unaitwa kwa Makamba Jijini Dar es Salam hapa Ilala upande Kinyerezi, kero yangu ni umeme kukatika katika kila mara ifikapo saa moja...
0 Reactions
6 Replies
172 Views
Back
Top Bottom