KERO Threads

Anonymous (7cb5)
KERO 
Mwalimu MWALUKASA wa Shule ya Sekondari JM KIKWETE, Halmshauri ya Mji Tunduma Mkoani Songwe anayefanyabiashara ya kuuza karanga shuleni analalamikiwa na Wanafunzi kuwalazimisha kununua karanga na...
11 Reactions
62 Replies
4K Views
Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA. Eneo hili lipo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Ofisi ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Mtwara imekuwa kikwazo sana kwa wateja, hakuna huduma nzuri na mambo meni hayaendi kwa wakati, wanachelewesha mambo hata katika mambo ambayo...
0 Reactions
5 Replies
515 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo, Dar es Salaam) huku kwetu kuna kero ya barabara kuwa mbovu. Changamoto hiyo inasababisha ajali na usumbufu mkubwa hasa kwa watoto wa shule...
1 Reactions
5 Replies
930 Views
Anonymous
KERO 
Inasikitisha sana siku hizi polisi kama nchi ni ya kwao kabisa.! As if Serikali imeshawapa ruhusa ya wanachokifanya. Mikoa mingine sijui, hapa Mtwara Kilimanjaro kuna hawa polisi wanatoza tu hela...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
1 Reactions
0 Replies
731 Views
Anonymous
KERO 
Naomba nitoe malalamiko kwa Serikali juu ya Barabara ya Kilombero Mkoani Morogoro ambayo mwanzo ilikuwa ya vumbi ila Serikali ya Awamu ya 6 imetutengenezea lami, napongeza kwa hilo. Barabara hiyo...
2 Reactions
11 Replies
995 Views
Kuna hali ya kutozijali barabara za Wilaya ya Temeke kwa kiasi kikubwa, wahusika ni kama hawajihusishi kabisa. 1. Barabara ya Temeke ina mashimo makubwa ambayo yanachangia kuharibu magari...
2 Reactions
7 Replies
846 Views
Anonymous
KERO 
Utoaji huduma kwa jamii unatakiwa kuwa rafiki ili kufikia malengo yaliyowekwa kwa manufaa ya TAIFA letu. Mimi kama mchangiaji wa NHIF kuna changamoto nimeziona katika ofisi za NHIF (Chache kama...
1 Reactions
4 Replies
875 Views
Anonymous
KERO 
Mfano mwaka 2017 Jumuiya ya Afrika Mashariki ilitangaza shindano la Ubunifu wa Nembo yake mpya kwa wabunifu mbalimbali, wa vyuoni na wa mtaani, walitangaza mshindi atapatikana mwaka unaofuata...
1 Reactions
7 Replies
531 Views
Habari, Licha ya kuwepo Malalamiko ya mara kwa mara kuhusu adha ya ubovu wa barabara Maeneo ya kuanzia Juu kidogo kwa Mpalange mpaka Kituo Cha Mwisho Mwanagati lakini hakuna hatua zinachukuliwa...
0 Reactions
3 Replies
903 Views
Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa Majohe kwa muda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha...
3 Reactions
11 Replies
928 Views
Naomba niwasilishe kero yangu inayonisumbua nikiwa pamoja na wenzangu tupate ufumbuzi. Tunaomba kujua ni lini chuo cha Western Tanganyika kilichopo kigoma itawapa wanafunzi wake waliohitimu chuo...
0 Reactions
2 Replies
662 Views
Barabara ya Kwa Barikiwe - Kinzudi ni kero, najiuliza wasimamizi walisinzia wakati kinamwagwa kifusi cha gadeni tena kipindi hiki cha mvua? Hali ya Barabara Africana njia ya kuanzia kwa "Kwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Wahitimu wa kozi za Afya ngazi ya Diploma nchini zilizopo chini ya Baraza la Elimu na Mafunzo ya Ufundi(NACTVET) tunawasilisha malalamiko kuwa tumemaliza chuo tangu mwezi Septemba 2023 na matokeo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala. Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Zipo dalili za uwepo wa mgomo na kuhujumu magari ya Mwendokasi DAR. Leo naambiwa hakuna magari huku madereva wakiwa wametelekeza magari ubungo kwa kisingizio cha uchakavu. Waziri mwenye dhamana...
2 Reactions
3 Replies
804 Views
Anonymous
KERO 
Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati Arusha ukipeleka malalamiko unataka kukata RB, wanakwambia “Karatasi ya kunukuu maelezo hatuna” kisha wanakupa moja wanakwambia katoe kopi tano ulete na ukanunue na...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Kwa nini kila kukiwa na Mechi za Simba, Yanga au Azam umeme unakatwa Meatu? Kumekuwa na changamoto ya kukatika kwa umeme bila mpangilio wala utaratibu maalumu Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu. Hali...
1 Reactions
6 Replies
501 Views
Back
Top Bottom