KERO Threads

Anonymous
KERO 
AJIRA MPYA 2024 HÀLMASHAURI YA MJI TARIME HATUJALIPWA FEDHA ZA KUJIKIMU.
0 Reactions
1 Replies
62 Views
Anonymous
KERO 
Fichua uovu: Uyole, jimbo jipya la Tulia. Nimefanya malipo ya kuunganishiwa huduma ya maji safi tangu mwezi wa nne, lakini hadi leo sijapatiwa huduma hiyo. Kila ninapofuatilia, naambiwa vifaa...
0 Reactions
1 Replies
65 Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
Kero yetu sisi wafanyakazi wa Kampuni ya BCEG Construction. Tunaomba Waziri wa Ujenzi au Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam afike kwenye mradi wetu uliopo Mbezi Beach, karibu na Ramada au Whitesands—ni...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu ni Kituo cha Afya Kinyerezi kinatoza pesa kwa watoto upande wa chanjo yaani matone kwa watoto miezi 9 wanalipia elfu 5 na sindano wanachomwa bure bila malipo wakati chanjo yoyote kwa...
1 Reactions
2 Replies
86 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wapya wa Singida DC tunaomba ufafanuzi kuhusu posho ya kujikimu tuliyolipwa. Kiasi tulichopokea ni kidogo tofauti na tulivyotarajia kwa mujibu wa utaratibu unaofahamika, na hakuna...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Anonymous (ac00)
KERO 
Habari za wakati huu! Mimi ni mtumishi wa umma , ambaye nimekuja kuwakilsha watumishi wa chini ya Tamisemi ambao ni Afya na Elimu ambao kwa sasa wapo chini ya Halmashauri ya Manispaa ya...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Anonymous
KERO 
Huku Kasulu Mji, Ajira Mpya ya 2021 mpaka sasa hatujalipwa hela ya kujikimu yote, tulilipwa kiduchu ukienda kudai wanakwambia subiri hela ikingia utapata kweli tangu Mwaka 2021 mpaka leo 2026...
0 Reactions
3 Replies
125 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mtumishi wa afya katika Halmashauri ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, nikiwa katika ajira mpya ya mwezi Januari 2026. Hadi sasa hatujapewa Fedha za Kujikimu, na kila tunapojaribu kuuliza...
0 Reactions
1 Replies
75 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni daktari tarajali (intern doctor) katika Morogoro Regional Hospital, na tunakumbana na changamoto kubwa ya kutolipwa posho zetu kwa wakati. Hadi sasa tumekaa takribani miezi miwili bila...
1 Reactions
5 Replies
125 Views
Anonymous
KERO 
Tuna kilio chetu cha Waalimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya KALAMBO Mkoa wa RUKWA, tumeajiriwa tangu Mwaka 2025 mwezi wanne, mpaka leo tuko mwezi wa tano 2026 bado hatujathibitishwa...
1 Reactions
10 Replies
255 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mmoja wa wauguzi watarajali (Intern Nurses) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara, kuna changamoto kubwa tunazopitia kutoka kwa msimamizi wa mafunzo wa hospitali yetu. Tumejaribu...
1 Reactions
1 Replies
91 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mfanyakazi wa kada ya afya katika Halmashauri ya Simanjiro, mkoa wa Manyara. Tangu Januari 2026 hadi sasa tumekuwa tukikumbana na changamoto nyingi, lakini kila tunapojaribu kuzungumza au...
0 Reactions
1 Replies
75 Views
Anonymous
KERO 
Nimeona andiko la Mdau kutoka VETA kuhusu changamoto ya Forklift upande wa Dar, upande wa Mbeya hali ni hiyohiyo, hali ya masomo ya udereva yamekuwa magumu, magari hakuna kwahiyo Serikali...
0 Reactions
3 Replies
217 Views
Anonymous (f669)
KERO 
Ninatoa ushuhuda wangu binafsi pamoja na wa watu wengine ninaowafaham yaan wanangu sana kuhusu vitendo vinavyofanywa na baadhi ya kampuni za ubashiri, hasa Parimatch Tanzania, ambavyo vinaonyesha...
2 Reactions
4 Replies
271 Views
Anonymous
KERO 
Sisi watumishi wa ajira mpya mwaka 2025 katika kada ya ualimu, Wilaya ya Iramba, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu changamoto kubwa tunazokumbana nazo kazini. Kwanza, tunaingizwa katika...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Anonymous
KERO 
Hizo picha hapo ni kipande kilichopo mbele kidogo ya Kibaigwa kama unaenda Dodoma kwa kutazama inaonekana ujenzi umekamilika ila barabara haijafunguliwa mpaka leo ni zaidi ya miezi miwili tangu...
1 Reactions
1 Replies
67 Views
Anonymous
KERO 
Mimi kero yangu ni kwa hizi daladala zetu za Kigogo Fresh - Tandika kuwa na tabia ya kukatisha route...yaani mtu unalipa nauli mara mbili na wanaona ni halali yao kabisa... asubuhi wanaanzia...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha katika maeneo ya kwa Msola na kwa Mrimba karibu na Climax Resort. Tumekaa karibu wiki mbili sasa bila maji, na hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara tangu mwezi...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Anonymous
KERO 
Sisi Wananchi wa Kata ya Kigogo Fresh B, Mtaa wa Golani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam tunachangamoto ya umeme. Mpaka leo nyumba takribani mia mbili...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Anonymous
KERO 
Tunaomba sana wahusika watutatulie kero ya usafiri katika eneo la NATTA jijini Mwanza. Mimi binafsi napitia eneo hili mara kwa mara, na hali ya foleni imekuwa mbaya sana. Pale kuna vituo viwili...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Back
Top Bottom