Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, nina kero juu ya Mkuu wa Wilaya ya Ngara, anaitwa Mathias Kahabi.
Mkuu huyo wa Wilaya ana tabia ya kudhalilisha na kutukana watumishi ikiwa ni...
Hapa ni Uwanja wa Mchanga, Keko Juu. Hali ya uchafu kwenye makazi ya watu katika Mtaa wa Keko Juu imezidi kuwa mbaya, huku kila kona kukiwa na viroba vya taka.
Wananchi wanaendelea kuathirika...
Halmashauri ya Nyang’hwale ajira za july 2025 kada zingne zote wamepata hela yao ya kujikimu isipokuwa kada ya afya na tukiulizia kwa katibu wa afya anatufokea
Wanafunzi tuliohitimu Kidato cha Nne kutoka shule za sekondari za ufundi (Technical Secondary Schools), kisha kujiunga na vyuo vya kati (College), tunakutana na changamoto kubwa katika kuendelea...
Watumishi wengi wanaotumia kalenda year waliohama halmashauri moja kwenda nyingine kuanzia mwezi wa 10 hadi mwezi wa 12 mwaka jana wamekumbana na changamoto ya kufutika kwa mipangop kazi/majukumu...
Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe hailipi madeni kwa sisi ambao tumefanya zabuni nao, na ukifuatilia malipo unajibiwa vibaya. Pia wamejipa majukumu ya TRA kwa kuzuia malipo endapo unadaiwa TRA...
Nilikuwa natoa hela bila card (PESA FASTA) kwenye ATM ya NMB DODOMA leo, baada ya kumaliza kutoa kwenye simu nikawa nasubiria meseji ya namba ya siri ili iniwezeshe kutoa kwa kwenye ATM lakini...
Mimi ni miongoni mwa watumishi wa ajira mpya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambao tuliajiriwa mwezi wa nane mwaka jana.
Tumekuwa na changamoto ya kupatiwa vitambulisho vya kazi na...
Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa...
Wakuu,
Hapa Arusha kuna mzani moja wa Jiji iliyopo maeneo ya Njiro, baada tu ya roundabout ya Impala.
Mzani huu naufahamu huu mwaka wa tatu. Kila gari kubwa linalopita hapa linatozwa kati ya...
Mimi ni muathirika wa hali ya sasa katika taasisi ya TANAPA.
Nilifanya kazi moja, na ni miaka miwili sasa imepita bila kulipwa. Mbali na mimi, kuna mwenzangu analalamika kuwa mama yake alifanya...
Kimara Mwisho tuna shida kubwa sana ya upatikanaji wa maji safi toka DAWASA kuanzia mtaa wa bakery ni upande wa kushoto ukitokea mjini baada ya msikiti kwenda Stopover.
atizo hili ni la muda...
Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana.
Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
Mimi ni mtumishi wa Kada ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, kwa zaidi ya miaka sita sasa nikiwa kazini, nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa zinazofanya watumishi...
Habarii WanaJamiiForums.
Changamoto na ni kero yangu kwenda kwa Wizara na Tume ya Ajira (Ajira Portal). Mimi ni kijana wa Kitanzania nimehitimu elimu yangu ya Form Four Mwaka 2018, pamoja na...
TRA mfumo unakataa kufunguka hasa kwenye kipengele cha Innovation ambapo inasababisha watu kushindwa kushiriki Innovation Challenge licha ya muda wakumalizika hiyo challenge kukaribia ambapo...
Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa...
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma Chuo cha sukari cha taifa (National Sugar Institute) cha kilombero tunawalipia pesa ya bima ya afya toka mwaka wa kwanza lakini hawapewi bima yoyote hadi wanakaribia...
Watumishi wa Ajira Mpya Kada ya Afya hadi leo hatujalipwa pesa zetu za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Kahama na hakuna response yoyote hadi sasa tangu Januari 2026 na mwaka wa fedha unakaribia...
Sisi Ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, tuliajiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.