KERO Threads

Anonymous
KERO 
Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za...
1 Reactions
5 Replies
329 Views
Anonymous
KERO Responded 
Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo. Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na...
1 Reactions
7 Replies
295 Views
Anonymous
KERO 
Wananchi wa eneo la Pasiansi jijini Mwanza wamekumbwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa takribani wiki mbili sasa, hali inayosababisha usumbufu mkubwa katika shughuli zao za kila siku. Kinachozua...
1 Reactions
3 Replies
101 Views
Anonymous
KERO 
Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB Tunapaza sauti yetu kama wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Kwa masikitiko makubwa, hali ya umeme katika maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi — imekuwa ya kudhalilisha wananchi na kuonyesha wazi kushindwa kwa mamlaka...
1 Reactions
1 Replies
104 Views
Anonymous
KERO 
Malalamiko yangu kituo cha mafuta satale mpigimagoe pump ⛽ zao zinatupunja mafuta tunaomba ewura wake wahakiki . Mafuta Yao ni machache ukilinganisha na unayoweka kwenye kituo kingine cha mafuta
1 Reactions
4 Replies
105 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa kata ya Inyala Mbeya vijijini. Ni mwaka sasa umeisha tulipimishwa viwanja kwa bei ya laki 1 na elfu 30 kwa kiwanja ili tupewe hati. Lakini mpaka sasa wahusuka wamepotea tukipiga...
1 Reactions
2 Replies
187 Views
Anonymous
KERO 
Ningependa kuanza kwa kuipongeza JamiiForums kwa huduma nzuri mnayoitoa kwa jamii kwa kutoa jukwaa la wananchi kusikika. Leo ninawasilisha malalamiko yangu kuhusu huduma za mtandao wa Vodacom...
2 Reactions
6 Replies
110 Views
Habari, Nilijiandikisha na nida mwaka kati ya mwaka 2020-2022 nikapatan namba vizuri tu lakini baada ya hapo sijawahi kupata kitambulisho changu mpaka leo. Licha ya juhudi zangu kufuatilia...
1 Reactions
3 Replies
85 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi Idara ya Elimu Wilaya ya Chalinze wanavyoonewa na kudhalilishwa na Afisa Elimu na baadhi ya Walimu Wakuu kwa kuwachongelea walimu kwa Afisa Elimu kisha kuwatisha kuwaharibia kazi...
2 Reactions
3 Replies
79 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mmoja wa watumishi wa kada ya afya tuliyoajiriwa mwaka 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Kero yangu kubwa ni kutolipwa stahiki zetu za pesa za kujikimu (allowance) kama...
1 Reactions
1 Replies
61 Views
Anonymous
KERO 
Malalamiko yangu kuhusu nafasi ya Afisa Uhifadhi wa Bahari kwa upande wa Zanzibar kwenye mfumo wa Zanajira, kwenye nafasi hii sisi ambao tumesoma BACHELOR OF SCIENCE IN AQUACULTURE from SUA...
1 Reactions
1 Replies
133 Views
ngawia
RESOLVED KERO 
Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno banana ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne mpaka Sasa tumetoka taarifa DAWASA Kinyerezi na wamefika hakuna utatuzi wowote. Maji yanayomwagika...
1 Reactions
5 Replies
200 Views
Anonymous
KERO 
OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA. Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu...
1 Reactions
1 Replies
88 Views
Anonymous (ad24)
KERO 
Mamlaka ya Huduma ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara, imeshindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi wake kwa kipindi cha zaidi ya wiki mbili sasa. Wananchi wa kata...
2 Reactions
3 Replies
88 Views
Anonymous
KERO 
Chuo cha afya cha paradigms hakitaki kuwaacha wanafunzi wahame au kujitoa kwenye mfumo wa NACTVET hata kama hawadaiwi msajili wao anaitwa SHABANI MRINGO ni mtoto wa mkurugenzi anajiona ni mungu...
2 Reactions
4 Replies
132 Views
Anonymous
KERO 
Habari, tumepima korosho toka mwaka jana mwezi wa 11 ila hadi leo hii hatujalipwa, wahusika ni chama cha msingi Mkola (MKOLA AMCOS).
0 Reactions
8 Replies
282 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwanafunzi wa Arusha Technical College (ATC), na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayolikabili chuo chetu kwa sasa, hususan katika suala la upatikanaji wa wakufunzi na rasilimali za...
2 Reactions
1 Replies
195 Views
Anonymous
KERO 
Halmashauri ya Manispaa ya Moshi watumishi tunaoomba ruhusa ya kwenda kusoma huwa tunanyimwa ruhusa bila sababu na muda mwingine tunaombwa Hela ili uweze kuruhusiwa na usipotoa hupewi ruhusa...
1 Reactions
2 Replies
74 Views
Lyetu
KERO Responded 
Kumekuwa na changamoto kubwa ya maji mkoa wa Mwanza haswa wilaya za Nyamagana na Ilemela. Baadhi ya maeneo hayajapata maji kwa wiki mbili na mamlaka kupitia idara yao ya huduma kwa wateja zinasema...
2 Reactions
7 Replies
184 Views
Back
Top Bottom