KERO Threads

Anonymous
KERO 
Pembejeo izo vyenye thamani ya milioni 100 na zaidi vineibiwa kwenye godawn kuu la Wilaya ya Kibiti. Huku kukiwa na juhudi lukuki kutoka kwa viongozi wa Wilaya kutaka kulizima swala hilo
0 Reactions
5 Replies
196 Views
Anonymous
KERO 
Halmashauri ya wilaya ya Chato inachangisha pesa kwa wafanya biashara kwa ajili ya mwenge. Wakusanyaji wanaongozwa na mtendaji wa kijiji Soma Pia: Viongozi wa Kijiji cha Mlimba B, Halmashauri...
0 Reactions
2 Replies
118 Views
Anonymous
KERO 
Wananchi wa Mtongani Mecco, Kunduchi, tunaendelea kupata mateso makubwa kutokana na kukosa njia ya uhakika ya kuingia na kutoka katika eneo letu baada ya kufungwa kwa barabara kufuatia mradi wa...
0 Reactions
1 Replies
113 Views
Kama una mpango wa kuja Mwenge ukitokea Tegeta au mbezi au Kawe tafuta njia nyingine tu Kuna foleni ya kutisha na haisogei nimekaa hapa ni lisaa limekata hakuna matumaini ya kusogea hata...
8 Reactions
13 Replies
152 Views
Anonymous
KERO 
Mimi nipo Mbeya huwa nasikiliza Redio Access FM kuanzia saa tatu usiku na kuendelea, kuna matangazo ya Waganga wanasema wanatoa mali kwa Sh 160,000. Swali langu Je, Serikali inaruhusu mganga...
2 Reactions
1 Replies
105 Views
Anonymous
KERO 
Huduma ya ttcl fibre Arusha ni mbovu, imejaa ubababishaji sana, mtu unalipia na unacheleweshewa kufungiwa na wakati huo kifurushi kinahesabika kinatumika. Hii tabia inakera, wahudumu hawana majibu...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
Anonymous
KERO 
Ndugu zangu wa JamiiForums Wasalaam, Naleta mada hii mbele yenu nikiwa kama mkazi wa eneo la Kata ya Mlandizi mkoani Pwani. Lengo langu kuu ni kuomba hifadhi ya utambulisho wangu (Anonymous)...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Anonymous
KERO 
Barabara inayotoka Chalinze kuelekea Mwarabu, kupitia Kijiji cha Malivundo hadi Msigi, ipo katika hali mbaya sana, kiasi kwamba wananchi wanapata shida kubwa kuitumia, hasa wakati wa msimu wa...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Anonymous
KERO 
Walimu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam tumelipwa nusu tu ya hela ya kujikimu yaani laki 550,000, tumeajiriwa tangu Februari mosi 2025. Hiyo nusu yenyewe tumepewa baada ya mwaka mzima na...
0 Reactions
0 Replies
85 Views
Anonymous
KERO 
Baadhi ya shule za sekondari za serikali katika kipindi hiki cha likizo, zipo ambazo zinaendelea kuwalazimisha wanafunzi kuhudhuria masomo bila utaratibu unaoeleweka. Mfano, Shule ya Sekondari...
0 Reactions
1 Replies
90 Views
Anonymous
KERO 
Baadhi ya wananchi wa Ukonga Mazizini, Mtaa wa Kwamakobe, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi kuhusu mwenyekiti wa mtaa wetu, Musa Komba. Kumekuwa na kero kubwa inayotokana na mwenendo wake wa...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni moja ya watumishi wapya (Kada ya Elimu) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu. Tangu January 2026 hatujapewa pesa ya kujikimu mpaka muda huu. Hata ajira za mwaka jana (2025), February...
1 Reactions
4 Replies
110 Views
MAMLAKA YA MKOA WA SIMIYU – IDARA YA ELIMU: HESHIMUNI NA LIPENI STAHIKI ZA WALIMU WANAOSAHIHISHA MITIHANI YA MOCK Baada ya baadhi ya walimu kukamilisha zoezi la usahihishaji katika masomo yetu...
1 Reactions
4 Replies
91 Views
Anonymous
KERO 
Halmashauri ya Wilaya Tandahimba Ajira Mpya wengi wetu hatujapewa fedha zetu za kujikimu tangu tu report kazini Mwezi January 2026. Tunapouliza jibu huwa ni moja kuwa “Tunalishughulikia” bila...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mdau wa elimu kutoka Jiji la Arusha. Kwa sasa dirisha la maombi ya kujiunga na vyuo vya kati kwa kozi za afya lipo wazi. Hata hivyo, jambo linalozua maswali mengi ni hatua ya NACTVET...
3 Reactions
3 Replies
233 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, kuna Mtumishi ajira mpya Afya ali-report kituoni toka mwezi wa 7 mwaka Jana 2025 hadi leo yeye na wenzake wanalalamika kutolipwa...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Jumapili nilipata fursa ya kutembelea eneo la Gongolamboto AIESS, lakini nilichokikuta kuhusu hali ya usafi kinatia wasiwasi mkubwa. Taka zimejaa na kulundikwa barabarani kabisa, hali...
1 Reactions
5 Replies
163 Views
Anonymous
KERO 
Wilaya ya Mbarali Mbeya kuna changamoto ya umeme yapata Miezi 6 sasa, changamoto inayosumbua ni low voltage (umeme kukosa nguvu) hii inaathiri baadhi ya nyumba lakini kwa wamiliki wa viwanda yaani...
1 Reactions
1 Replies
88 Views
Nilikua naangalia mkopo wa nyumba hapa wa miaka 25.Nimeshtuka hiki kiasi cha 16% ambacho ni milion 30. Nimeishiwa pozi kabisa
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Anonymous (838e)
KERO 
Kuna changamoto inayotusumbua sisi wanafunzi wa Chuo cha City College. Kila tunapotaka kufanya uhamisho kwenda vyuo vingine tunazuiliwa na kuambiwa kuwa chuo hakiruhusu kufanya uhamisho. Hata...
0 Reactions
4 Replies
171 Views
Back
Top Bottom