KERO Threads

Nikiwa Ubungo Riverside, nimebaini kuwepo kwa changamoto kubwa ya uondoaji wa taka ambapo huduma hiyo imekuwa ya kusuasua kwa muda sasa. Hali hii imesababisha taka kurundikwa kando ya barabara na...
0 Reactions
0 Replies
71 Views
Anonymous
KERO 
HALMASHAURI YA MJI NEWALA-MTWARA HAIJATULIPA FEDHA ZA KUJIKIMU WALIMU AJIRA MPYA 2026 ,LAKINI IMEWALIPA IDARA YA AFYA PEKEE TULIYOAJIRIWA PAMOJA.
1 Reactions
4 Replies
143 Views
Kwa kweli niwapongeze na awamu ya sita huduma ni nzuri nzuri sana.na kwa kweli mnatusaidia sana. Tunasafiri raha mustarehe. Kidogo naomba mnisaidie na maoni. Adhabu ya kubadili tarehe kwa...
1 Reactions
3 Replies
273 Views
Anonymous
KERO 
Hivi, Hela ya mirathi inapocheleweshwa kulipwa na mahakama wakati hatua zote zimefatwa, na wakati huo umeshafikisha malalamiko mpaka kwa mkuu wa malipo ya mirathi na bado mnazungushwa, ni hatua...
1 Reactions
6 Replies
254 Views
Anonymous (0200)
KERO 
YAH: UKIUKWAJI WA SHAMBUSHAMBU WA SHERIA ZA NCHI, UTAPELI WA ARDHI NA UHUSISHI WA USALAMA JIRANI NA KAMBI YA JESHI (JKT MSATA) UNAOFANYWA NA RAIA WA KICHINA Husika na kichwa cha habari hapo juu...
3 Reactions
3 Replies
177 Views
Anonymous
KERO 
Nilijiandikisha na kupata Namba ya NIDA Mwaka 2020 nikaenda kufuatilia kitambulisho Mwaka 2022 nikaambiwa bado nikarudi Disemba 2025 nikaambiwa bado nilipohoji kwanini inachukua muda mrefu kiasi...
1 Reactions
6 Replies
368 Views
Anonymous
KERO 
Sisi, wanachama wa Chama cha Wakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), tunapenda kuufahamisha umma, mamlaka husika na wadau wa sekta ya forodha kuwa tuna wasiwasi mkubwa kuhusu hatua zinazochukuliwa na...
1 Reactions
1 Replies
455 Views
Anonymous (dd8c)
KERO 
Wilaya ya Meatu walimu tunakataliwa kujitoa chama cha walimu kujiunga chakuhata wakati chama cha walimu cha wilaya kina fanya mambo ya hovyo mengi. Kwa mfano, fedha za walimu zinarudi tawini...
0 Reactions
3 Replies
131 Views
Wananchi tusiokuwa na kadi za kupandia mwendokasi tumekuwa tukinyanyasika na kudhalilika hasa kwa abiria wenzetu tunawaomba msaada kutumia kadi zao. Mamlaka ziharakishe upatikanaji wa kadi...
4 Reactions
26 Replies
325 Views
Anonymous
KERO 
Sisi watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea tunapitia kipindi kigumu kutokana na kucheleweshwa kwa stahiki zetu mbalimbali, hususan malipo ya posho za kuhudhuria vikao. Tatizo kubwa...
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Serikali yetu tukufu ya awamu ya 6 chini ya Dr. Samia Suluhu Hassan tunaomba mliangalie hili swala la Makato ya mishahara kwa walimu kwenda kwenye CHAMA CHA WALIMU ni makubwa sana. Nashauri toeni...
4 Reactions
111 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Kuna namna Shirika haliwatendei haki wateja wake. Kwa mfano, mimi niliomba kuunganishiwa huduma ya TTCL Fiber tangu mwezi wa pili mwaka 2025. Baada ya maombi yangu kupokelewa, nilipigiwa simu na...
0 Reactions
3 Replies
112 Views
Anonymous
KERO 
Ahsanteni sana JamiiForums kwa kuendelea kutupatia habari na kutupa nafasi ya kufikisha sauti zetu. Sisi watumishi wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe, kada ya elimu, hadi sasa...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Hivi inakuaje pale JKCI unatozwa viwango tofauti vya kumwona daktar kutokana na kifurushi cha bima, mfano ukiwa na kifurushi cha bima cha juu wanakutoza 100,000/= ukiwa na bima kifurushi cha...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
1. Hivi vyuo vingine hivi ni shida tupu. Niliitwa kwenye interview Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira. Kwa bashasha na matumaini tele nikafunga safari ndefu ya kutoka nyumbani Bukoba mpaka Arusha...
5 Reactions
58 Replies
590 Views
Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Anonymous
KERO 
WALIMU Ajira za mwaka Jana (2025) mwanzoni na wa (2026) januari Bado HATUJAPEWA HELA yetu ya KUJIKIMU Na Idara husika hazisemi chochote wakati wenzetu halimashauri zingine wamepewa tayari.
0 Reactions
5 Replies
161 Views
Anonymous
KERO 
Sisi ni watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, tulioajiriwa mwezi Januari mwaka 2026 kutoka kada mbalimbali ikiwemo ualimu, afya, ustawi wa jamii, kilimo na maendeleo ya jamii. Kero yetu...
0 Reactions
2 Replies
75 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa umma wa ajira mpya katika Halmashauri ya Ngorongoro mpaka hivi leo, hatujalipwa kabisa "fedha ya kujikimu" na hatupewi mrejesho wowote na viongozi wetu. Sasa hata hio posho inapoteza...
0 Reactions
4 Replies
85 Views
Kwa mda mrefu watumishi wapya Halmashauri tofauti tofauti wamekuwa wakilalamika kutopewa pesa za kujikimu wengine zaidi ya miezi 6 hadi mwaka tangu kuajiriwa na wengine kupewa nusu ya malipo...
2 Reactions
3 Replies
121 Views
Back
Top Bottom