Barabara hii ni mpya na ilikamilika kujengwa mwaka 2023 chini ya usimamizi wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma. Hata hivyo, tangu kukamilika kwake imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimbali.
Kwanza...
Mimi ni mwanachama wa mifuko kadhaa UTT na kwamba UTT wamefanya maboresho ya program ambapo program iliyokuwa inatumika zamani imefungwa tangu tarehe 01/03/2026.
Sasa tatizo lililopo ni kwamba...
Baadhi ya watumishi walioajiriwa wilaya ya Siha mwaka 2021, hatukulipwa mshahara wa kwanza wa July 2021.
Imepita miaka minne sasa unaenda mwaka wa tano.
Tumeshaandika sana barua na kujaza fomu...
Umri wangi ni miaka 32, ninajishughulisha na biashara ndogo ndogo. Nilifunga ndoa Mwaka 2017 na mwanamke ambaye ni mtumishi wa Serikali, na tumebarikiwa kupata watoto wawili. Hata hivyo, tangu...
Mkurugenzi pole kwa uchovu wa kazi, najikita moja kwa moja kwenye hoja, mkurugenzi nimeamua kukuandikia barua hii ya wazi nikikupa taarifa kuhusu utiririshaji wa maji machafu ya chooni yanayotoka...
Bus za shabiby zimepoteza na zimeharibu mzigo wangu nimefuatilia kwenye uongozi nimeambiwa ni shida ya Kondakta na ni mwezi umepita sasa tangu mzigo wangu kuharibika na mwingine kupotea hamna...
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini...
Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo.
Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za...
Napenda kuwasilisha hoja kuhusu changamoto inayowakabili Wahadhiri wengi wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini katika mchakato wa kupandishwa vyeo.
Kwa sasa, Wahadhiri wengi wamekwama kutokana na...
Wananchi wa eneo la Pasiansi jijini Mwanza wamekumbwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa takribani wiki mbili sasa, hali inayosababisha usumbufu mkubwa katika shughuli zao za kila siku.
Kinachozua...
Wanafunzi wa MUST Mbeya Tunaomba Majibu Kuhusu Kuchelewa kwa Boom ya HESLB kwa Watumiaji wa CRDB
Tunapaza sauti yetu kama wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuhusu...
Kwa masikitiko makubwa, hali ya umeme katika maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi — imekuwa ya kudhalilisha wananchi na kuonyesha wazi kushindwa kwa mamlaka...
Malalamiko yangu kituo cha mafuta satale mpigimagoe pump ⛽ zao zinatupunja mafuta tunaomba ewura wake wahakiki .
Mafuta Yao ni machache ukilinganisha na unayoweka kwenye kituo kingine cha mafuta
Mimi ni mkazi wa kata ya Inyala Mbeya vijijini.
Ni mwaka sasa umeisha tulipimishwa viwanja kwa bei ya laki 1 na elfu 30 kwa kiwanja ili tupewe hati. Lakini mpaka sasa wahusuka wamepotea tukipiga...
Ningependa kuanza kwa kuipongeza JamiiForums kwa huduma nzuri mnayoitoa kwa jamii kwa kutoa jukwaa la wananchi kusikika.
Leo ninawasilisha malalamiko yangu kuhusu huduma za mtandao wa Vodacom...
Habari,
Nilijiandikisha na nida mwaka kati ya mwaka 2020-2022 nikapatan namba vizuri tu lakini baada ya hapo sijawahi kupata kitambulisho changu mpaka leo.
Licha ya juhudi zangu kufuatilia...
Watumishi Idara ya Elimu Wilaya ya Chalinze wanavyoonewa na kudhalilishwa na Afisa Elimu na baadhi ya Walimu Wakuu kwa kuwachongelea walimu kwa Afisa Elimu kisha kuwatisha kuwaharibia kazi...
Mimi ni mmoja wa watumishi wa kada ya afya tuliyoajiriwa mwaka 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea. Kero yangu kubwa ni kutolipwa stahiki zetu za pesa za kujikimu (allowance) kama...
Malalamiko yangu kuhusu nafasi ya Afisa Uhifadhi wa Bahari kwa upande wa Zanzibar kwenye mfumo wa Zanajira, kwenye nafasi hii sisi ambao tumesoma BACHELOR OF SCIENCE IN AQUACULTURE from SUA...
Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno banana ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne mpaka Sasa tumetoka taarifa DAWASA Kinyerezi na wamefika hakuna utatuzi wowote. Maji yanayomwagika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.