KERO Threads

Anonymous
KERO 
App ya mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya app. Ukiwapigia wanasema wanarekebisha
1 Reactions
2 Replies
131 Views
Anonymous (c5ac)
KERO 
Hellow jamii, Kata ya Nyamhongolo Mkoa wa Mwanza Jiji la Ilemela hatuna maji wiki sasa na wakati Ziwa Victoria liko hapa hapa Mwanza, hii ni aibu.
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Hii ishu ya Passport naona kuna mazingira ya kuzungushwa kwa maksudi, maana hata mimi ni wiki sasa kila nikienda ofisi za Uhamiaji Shinyanga naambiwa kuna shida ya Mtandao, hata wiki jana nilienda...
0 Reactions
3 Replies
148 Views
Anonymous
KERO 
Idara ya Uhamiaji Mbeya imekuwa changamoto na kero kubwa, nimeenda kuomba Passport nimerudi zaidi ya mara 4, mwezi sasa umeisha wanasema hakuna Mtandao wakati sisi tunajaza form zao online...
3 Reactions
3 Replies
197 Views
Anonymous
KERO 
HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI. PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA...
0 Reactions
7 Replies
604 Views
Anonymous (0c95)
KERO 
Hivi kwa nini barabara ya Mpiji Magohe mpaka Mbezi hawajazi kifusi kama barabara ya lami imewashinda? Yaani Barabara imechimbika balaa hata kwa kupita hamna, wahusika tunaomba walione hilo, miezi...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Anonymous (6235)
KERO Responded 
Barabara ya Tabata Kimanga for years hazipitiki na ndo mvua zikinyesha tunadumbukia dumbwi kwenye madimbwi iwe barabara kuu au ya bonde la mchicha. Magari yanaharibika aiseee. Wamemuondoa Mbunge...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Anonymous (9eb9)
KERO 
Magomeni mitaa ya Mwinyimkuu, Mpanda, Takadiri, Mbegani na Ziota tuna shida ya maji ni miezi saba tunaambiwa kuna mabomba yanatakiwa kubadilishwa lakini ni hadithi. Imagine tuko magomeni kwenye...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Anonymous
KERO 
Kampuni za MM CONNECT na PENT OPTIMISM ambazo zina ubia wa kuendesha maduka ya Vodacom zinachkua vyeti vya kitaaluma vya wafanyakazi wake na kukaa navyo kama udhamini kinyume na utaratibu na...
1 Reactions
1 Replies
99 Views
Nyakati za asubuhi hapa jijini Dar es salaam kumekuwepo na utaratibu wa Askari wa usalama barabarani (Traffic) wanasimama barabarani hasa maeneo ya Crossway au sehemu zenye mataa ili kudhibiti...
0 Reactions
4 Replies
193 Views
Bana weee! Ule mtaa ulipata Rami mapema MIAKA ya 2000 mtaa wetu ulikuwa tayari ni mjini na magari yalikuwa yanapita Kwa kasi. Hakukuwahi wekwa matuta MPAKA MWAKA 2026, WATU washagongwa sana...
0 Reactions
0 Replies
66 Views
Anonymous
KERO 
Unakuta mtu una Cheti cha ndoa, umeshathibitishwa kazini, ukiomba uhamisho unakataliwa na kuambiwa uombe kwenye mfumo. Mfumo ukiomba haukuruhusu eti mpaka miaka mitatu. Hii ni kinyume na haki za...
1 Reactions
4 Replies
284 Views
Anonymous (d932)
KERO 
Walimu Temeke hela za likizo hatujalipwa toka 2019, Ni huzuni tupu. Pesa nasikia wanazo ila wanaziweka fixed acc ziwazalishie, ni maumivu makubwaa. Tunaomba mtupazie Sauti. Mimi ni mwalimu...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu kubwa bhana inaenda Wizara ya Afya hasa upande wa boarder ya Mtukula na boarder ya KASUMULU ambapo wafanya kazi wa wizara hiyo hapo boarder wamekuwa na tabia ya kutulipisha hela ya...
0 Reactions
2 Replies
105 Views
Anonymous (d932)
KERO 
Mimi ni mdau, nipo Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, naomba kuwasilisha kero kuhusu malipo ya posho za kujikimu katika Idara ya Elimu. Walimu wameripot kazini lakini hela za kujikimu inakuwa...
0 Reactions
3 Replies
120 Views
Anonymous (d932)
KERO 
Sisi ni ajira mpya Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani, kada ya afya ni miezi mitatu sasa hatujalipwa pesa zetu za kujikimu na tumefuatilia kwa viongozi wa wilaya lakini majibu hayaridhishi kabisa...
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Anonymous
KERO 
Wilaya ya Mbinga Mkurugenzi amelazimisha shule zote za Sekondari kuanzia Mwaka 2025 kuwa Kidato cha kwanza wanatakiwa kusoma masomo yote bila kujali wameyachagua au la, kitu ambacho ni kinyume na...
1 Reactions
9 Replies
241 Views
Anonymous
KERO 
Kuna kampuni ya kubashiri inaitwa Premier Bet hawa jamaa ukibet na kushinda wana Uswahili sana, ukishinda wanakwambia utume vitambulisho vyako na ukituma muda huohuo wana..block account yako...
1 Reactions
10 Replies
242 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Ndugu Watanzania, nimepokea malalamiko ya Waalimu kwamba Mkurugenzi wa Mbinga DC anawanyanyasa sana Walimu wa Mbinga DC. Kwa mfano, Mkurugenzi huyo huwaita walimu wote kufika ofisini kwake bila...
5 Reactions
22 Replies
476 Views
Back
Top Bottom