KERO Threads

Anonymous
KERO 
Halmashauri ya Wilaya ya Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya, muongozo wa TAMISEMI unaeleza kuwa inatakiwa tulipwe Siku 14 ila Newala wamelipa siku 7 na...
2 Reactions
3 Replies
139 Views
Anonymous
KERO 
Halmashauri ya Kahama inachelewa kuwapa Watumishi posho zao za kujikimu imesababisha wale walioajiriwa Mwaka 2025 bado wanadai posho ya kujikimu na wapo waliopewa lakini sio hela yote, wamepewa...
0 Reactions
2 Replies
166 Views
Harvey Specter
KERO Responded 
Mfumo mpya wa BRELA (BOS) unasumbua sana, mtu akitaka kupata huduma mbali mbali kupitia mfumo huo, anapewa ujumbe wa "an unexpected error occurred. Please try again". Muda mwingine wanakuambia...
0 Reactions
8 Replies
199 Views
Anonymous
KERO Responded 
Jaman kuhusu maji Kata ya Nyampande Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ni janga kubwa, tuna mabomba ila maji ni kitendawili, Waziri kaja Mwanza jiji, viongozi wetu wanajua lakini bado hawajatatua...
0 Reactions
2 Replies
130 Views
Anonymous
KERO 
Imekuwa ni tabia endelevu, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa MAWENZI. Watumiehi wake wamekuwa wakifanya kazi kwa mazoea katika idara zote kwanzia Emergency hadi Mochwari. Chumba cha kuhifadhia maiti...
0 Reactions
2 Replies
122 Views
Waufukweni
RESOLVED KERO 
Nimeona watu wakinusurika kugongwa na magari, huku pia madereva wakinusurika kupata ajali katika junction ya mataa ya Biafra, Kinondoni. Hali hii inatokana na taa za kuongozea magari kutofanya...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Anonymous
KERO 
Mwanza, Usagara, kata ya Idetemya, Nyalwigo hatuna umeme. Kuna kaya zaidi ya elfu moja na kila tukiulizia umeme unafika lini, tunaambiwa hapo mpaka mkubwa mmoja ajitokeze na kudai hivi hivi ni...
2 Reactions
2 Replies
152 Views
Anonymous
KERO 
Natokea Kijiji Cha Kikuba-katumba-Tukuyu-Rungwe. Kero yangu ni kuwa barabara inayoenda kwa kiwanda Cha MANGI(MAPOMBE) kutoka kiwanda Cha chai.. Huyo MANGI anapitisha magari makubwa mfano Mende...
3 Reactions
9 Replies
192 Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
Mimi ni mkazi wa Mbagala na nafanya shughuli zangu katika Soko la Samaki Ferry. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia usafiri wa Mwendokasi kwenda na kurejea nyumbani. Kituo ninachoshukia ninapoenda...
1 Reactions
6 Replies
252 Views
Anonymous (9593)
KERO 
Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja. Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar...
0 Reactions
5 Replies
179 Views
Hongereni Dar es Salaam kwa kuanza kudhibiti kelele za baa zilizopo karibu na makazi ya watu. Naomba mamlaka husika ziangalie pia hali ya SK Bar & Grill iliyopo Mitimirefu, Mwanza, mkabala na...
0 Reactions
2 Replies
112 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa Ajira Mpya Idara ya Afya mwezi January 2026 Wilaya ya Uyui, Tabora hatujapewa Fedha ya Kujikimu na uongozi wanajibu "halmashauri haina mfuko mkubwa wa mapato tuendelee kusubiri ikiwa...
1 Reactions
1 Replies
88 Views
Anonymous
KERO 
Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
  • Redirect
Anonymous
KERO 
Kumekuwa na tabia ya madereva wa daladala kupaki magari na kupakia abiria nje ya vituo hususani kituo kidogo cha mabasi Keko Bora (maarufu tameco), Maduka Mawili na Serengeti kwa daladala...
0 Reactions
Replies
Views
Anonymous
KERO 
Naomba wakubwa mtusemee labda nyie watawasikiliza. Kuna ucheleweshwaji wa utoaji vyeti vya taaluma usio na sababu ya msingi katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM hii inatuwia vigumu tunaotoka...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mtumishi wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, kumekuwepo na kero ya kutolipwa stahiki zetu za likizo na posho za kujikimu ilihali hela zote zishatolewa Hazina na kuwekwa wilayani...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi walioajiriwa mwezi Juni 2022 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe tunaomba haki yetu ya msingi itendeke. Pamoja na kutimiza wajibu wetu wa kazi kwa uaminifu, hadi sasa wengi wetu...
0 Reactions
17 Replies
385 Views
Anonymous
KERO 
Nasoma Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika (Eastern Africa Statistical Training Centre - EASTC), kilichopo Dar es Salaam, mwaka wa kwanza, tukiangalia muongozo Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)...
2 Reactions
10 Replies
283 Views
Anonymous
KERO 
Tanzania hii kama Kuna majimbo yaliyobaguliwa basi ni Jimbo la SUMVE wilaya ya KWIMBA mkoa wa Mwanza. Jimbo hili toka uchagaguzi wa kwanza wa vyama vingi vya siasa Tanzania 1995 mpaka waleo hii...
0 Reactions
1 Replies
89 Views
  • Redirect
Anonymous
KERO 
Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja. Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom