KERO Shabiby Buses: Mzigo Wangu Umeharibika/Potea!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Bus za shabiby zimepoteza na zimeharibu mzigo wangu nimefuatilia kwenye uongozi nimeambiwa ni shida ya Kondakta na ni mwezi umepita sasa tangu mzigo wangu kuharibika na mwingine kupotea hamna anayewajibika hata kidogo.

Kwa wakati huu ambao usafirishaji wa mizigo kati ya Dom na Dar umeongezeka angalau waonyeshe utayari basi kwa Umma.
 
Je mzigo uliandika una thamani gani? Na ulilipia kiasi gani?

Jibu hapo halafu tuendelee
 
Bwana hata kama ile nyama ya msaada walitakuwa waufikishe salama mzigo wa mteja. Sasa wanauchuna maana yake nini nyie Shabiby wa Gairo mxiuuuum
 
Back
Top Bottom