KERO Threads

Habari kaka? Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi JK Nyerere, iliyopo Manispaa ya Moshi. Mwaka jana uongozi wa shule uliitisha kikao cha wazazi na kueleza nia ya serikali ya kuigeuza...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari za wakati huu, Asilimia kubwa ya Wanafunzi tunaohitimu masomo ya Shahada ya Kwanza katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) ambacho kipo Kigamboni hatujalipwa fedha zetu za...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
BigTall
KERO Responded 
Jamii Forums naomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu Barabara ya Goba Mpakani hadi Tegeta A hapa Dar es Salaam, ni mbovu sana na inatugharimu sisi raia wa kawaida. Mfano mvua iliyonyesha jana tarehe...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Licha ya Waziri kuagiza fedha za kujikimu zilipwe kwa watumishi wapya kada ya ualimu na afya ya mwezi June 2023, bado hali ni tofauti kwa sisi watumishi wapya wa Kibaha DC. Nauliza, Je ni...
0 Reactions
1 Replies
478 Views
Kitunda, Msongola na Kivule ni miongoni mwa kata zinazounda wilaya ya Ilala. Licha ya kuwa kata hizo zipo iliyokuwa manisapaa ya Ilala ambayo imepandishwa hadhi na kuwa halmashauri ya jiji la...
2 Reactions
2 Replies
914 Views
Suley2019
KERO Responded 
Habari Wakuu, Yaani inapotokea mvua katika jiji la Dar es Salaam ni kama adhabu kwa wakazi wa Mwanagati kuanzia kipande cha Kwa Mparange mpaka kituo Cha mwisho cha daladala Cha Mwanagati...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
isky
KERO Responded 
Ndugu wana jamvi nikiwa kama mmoja wa wakazi wa kivule naomba mawazo yenu pengine ninyi mliwahi fanikiwa mlipokuwa na shida kama ya kwetu. Ili kufika kivule njia kuu ni moja kupitia banana -...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndeyanka_Mwenyewe
KERO Responded 
RPC Arusha tunaomba ingilia hili suala la traffic Police Arusha wamekuwa ni kero kusimamisha magari na kuomba hela. Inakuwa kama hela ni haki yao uwe na kosa ama huna kosa. Arusha ni mji mdogo...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Hali ya vyoo vya IFM inahatarisha kwanza kumekuwa hakuna maji na usafi sio wa mara kwa mara vyoo ni vichafu sana. Uongozi wa chuo tunaomba mliangalie hili ili kuepuka mlipuko wa magonjwa chuoni.
1 Reactions
5 Replies
620 Views
BigTall
KERO Responded 
Mchangamoto tunaopitia wakati wa kujaza gesi kwenye magari ni kero kubwa ya foleni inayotokana na wingi wa wenye uhitaji huku sehemu za kujazia zikiwa chache. Hicho ni kikwazo kikubwa pia kwa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
DogoWaNjombe
KERO Responded 
Wiki mbili baada ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe kuzungumza na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kutaka kujua kwanini Shule ya Msingi Magomeni ina madarasa mawili yaliyojengwa kwa nguzo za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fakyuol
KERO Responded 
Mtambo wa kupeleka maji ya ziwa Victoria Shinyanga na Tabora upo Misungwi, ambapo wakazi wake hawana maji. Hii nchi ina maajabu [emoji119]
2 Reactions
10 Replies
826 Views
Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa. Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji. Kibaya zaidi hata...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
Utendaji dhaifu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF umeitweza nchi kwa kiwango cha kufanya Sheria ya Bima ya Afya kusiginwa kwa soli za watoa huduma za afya wa sekta zote za umma na binafsi...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Brain Kingdom
KERO Responded 
Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana. Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
SHANTI
KERO Responded 
Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa...
10 Reactions
60 Replies
19K Views
Miss Zomboko
KERO Responded 
Ujenzi wa reli hii ya kisasa kwa awamu ya kwanza kati ya Dar es salaam - Morogoro (Km 300), ulizinduliwa na Rais wa awamu ya tano, John Pombe Magufuli Aprili 12, 2017. Ilielezwa ujenzi wa mradi...
10 Reactions
23 Replies
4K Views
Roving Journalist
KERO Responded 
CHANGAMOTO TUNAZO PITIA WAGONJWA WA FIGO MUHIMBILI. Ndugu Mheshimiwa waziri zifuatazo ni changamoto tunazo pitia Kama wagonjwa wa figo. 1. Gharama za kuchuja damu (dialysis) ziko juu sana kwa...
12 Reactions
55 Replies
7K Views
DogoWaNjombe
KERO Responded 
Mamlaka husika piteni hapo Bandarini abiria wanaotoka Zanzibar wanakutana na kero ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu sana hadi inakera. Hali hii imekuwa ikitokea mara nyingi lakini nimeona...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mshangai
KERO Responded 
Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom