DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni Daktari Bingwa wa Akina Mama katika hospitali mojawapo ya private hapa Dar es Salaam, naomba nizungumze kwa niaba ya Wanawake wajawazito na Watanzania kiujumla. Kwasasa utaratibu wa...
3 Reactions
10 Replies
226 Views
Anonymous
DOKEZO 
Napoandika hii post leo, na siku za karibuni waziri mkuu amekuwa ziarani Mkoa wa Kilimanjaro, naomba na kumsihi Waziri Mkuu aifanyie uchunguzi ofisi ya Mkurugenzi wa manispaa ya Moshi mjini...
0 Reactions
0 Replies
174 Views
Tukio la hivi karibuni la abiria waliotoka Bukoba kuja Dar es Salaam (kupitia Mwanza) tarehe 21 Februari 2026, ni kielelezo tosha cha mateso tunayopitia wananchi. Kuanzia uwanja wa ndege wa...
1 Reactions
2 Replies
193 Views
Hapa Ubungo External Mataa - Dar es Salaam, kila ikifika saa 5 kamili usiku mataa ya barabarani yanayotumika kuongoza magari huwa hayafanyi kazi, hivyo inakuwa kama gombania goli. Tunashuhudia...
0 Reactions
2 Replies
207 Views
Safari yangu ya kurejea Dar es salaam baada ya kukamilisha kazi yangu Bukoba imeanza asubuhi ya Februari 21, 2026 kwa ndege TC 101, mali ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Kasheshe imeanzia...
14 Reactions
55 Replies
1K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliandaa wahudumu wa afya ya jamii kwa kuwagharamia mafunzo yaani Ada, malazi chuoni na chakula na kila kitu kuhusu mafunzo hayo. Baada ya kumaliza...
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Huu ni baahi ya ushahidi wa malalamiko ya watu kutoka katika page ya ZSSF zanzibar. Watu watokao Bara tunafanyiwa ubabaishaji sana kwenye mfuko huu, raia wa kigeni wakitaka mafao yao wanayapata...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Anonymous
DOKEZO 
Ukilipitia tiketi online, automatically utabakiwa na muamala wa malipo, unapofika stendi uendako kama huna risiti utatakiwa ulipie shilingi mia tatu getini. Kwani kulipia ticket online na kulipia...
3 Reactions
16 Replies
325 Views
Habari Tanzania ! Nawaomba Wenye mamlaka na usimamizi wa Elimu pamoja na wadau wa elimu hapa Tanzania. Ikiwapendeza; nawaomba mfanye mabadiliko tena kwenye Shule za Msingi kila Kata - Shule...
1 Reactions
2 Replies
179 Views
Habari Tanzania ! Pole kwa uchovu wa hapa na pale kwasababu ya kulitumikia Taifa letu hili la Tanzania. Poleni sana wanasiasa na watu wengine wenye njaa za madaraka na Mamlaka kwa mtazamo...
6 Reactions
44 Replies
797 Views
Ukifika Chanika mwisho jijini Dar es Salaam kuna msongamano mkubwa wa magari na watu kutokana na ufinyu wa eneo hilo. Hiyo ni kwasababu eneo hilo halina kituo cha daladala, matokeo yake magari...
1 Reactions
2 Replies
257 Views
Habari za muda huu wadau, Leo nilikuwa na safari fulani hivyo ikanibidi kupanda daladala kwa umbali mrefu kidogo, Kutoka tegeta mpaka Mbagala. Baada ya kupanda daladala nikiri kwamba...
5 Reactions
12 Replies
680 Views
Anonymous
DOKEZO 
Umepita mwezi sasa uwanja wa mpira wa Halmashauri ya mji umezuiliwa kutumika. Hii ni mara ya pili, mwanzo ilizuiliwa Mkurugenzi akaruhusu mazoezi kufanyika na ukafunguliwa. Ghafla tu umefungwa...
6 Reactions
10 Replies
308 Views
Barua ya wazi kwa mkuu wa Traffic Police Kuna zoezi limefanyika Jumamosi ya tarehe 14.02.2026 - Jangwani Road na ni zoezi la dhuluma na kuibia wananchi ambao tayari wanaumizwa na mifumo...
4 Reactions
3 Replies
325 Views
Zillion
DOKEZO Responded 
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hapa Tanzania hasa USD ambayo ndio hutumika sana kwa malipo kwa biashara za kimataifa. Pamoja na kupanda kwa dola na kushuka kwa shilingi kutoka 2375...
13 Reactions
52 Replies
6K Views
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Bulgaria anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua...
8 Reactions
85 Replies
7K Views
Awali, vyuo vya afya na tiba shirikishi vya City Colleges vilivo sajiliwa na NACTEVET kutoa kozi za afya kwa ngazi za astashahada na stashada ikiwemo Kigamboni campus, Temeke & Mikwambi csmpus...
1 Reactions
6 Replies
442 Views
Anonymous
DOKEZO 
Ninalazimika kuibua hoja nzito inayotia shaka kubwa kuhusu mfumo wa manunuzi unaotumika katika Shule ya Nyanza. Umekuwa ni utaratibu kuwa shule hutangaza zabuni kupitia mfumo wa NeST na kuzitoa...
1 Reactions
0 Replies
135 Views
Asantehene
DOKEZO Responded 
Wakuu nimekutana na hii hoja, nimeona niiweke hapa iwafikie wadau wengi zaidi, na DAWASA kama wanaweza kujibu itakuwa vizuri zaidi. Majuzi tuliamka tukakuta mita yetu ya maji haipo. Cha...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
Back
Top Bottom