Ujumbe huu ufike kwa Afisa Elimu (Wilaya/Mkoa), Wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Njombe
Ndugu Afisa Elimu,
Napenda kuwasilisha lalamiko juu ya hali ya uzembe unaoendelea katika baadhi ya shule za...
Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha...
KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - anuani Na Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufatilia hiyo...
Mzazi wangu ni mmoja wa Wazee ambao wamestaafu utumishi katika Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), mzee wangu na wenzake wengi waliostaafu Mwaka 2004, 2005 na 2006 hawajalipwa stahiki...
Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi, wajawazito wanadaiwa kulipia kadi za kliniki Shilingi elfu 2, hii si sawa kwa sababu huduma za mama na mtoto ni bure kwa mujibu wa sera ya Afya!
Mganga Mkuu wa...
Habari za muda huu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mpo na afya na nguvu tele, na kama ni hivyo basi tumshukuru na kumtukuza Mungu wa mbinguni aliye hai.
Moja kwa moja bila ya kupoteza muda niende...
Kuna Traffic wanakaa pale Kibamba Bwawani, wanachukua elf 5 kwa kila daladala za Kutoka Kibaha.
Imekuwa ni kama mradi kwao, hawakagui magari ni konda anashuka anawapelekea elf 5 gari inaondoka...
Baadhi ya wanawake wajasiliamali wa Tarafa ya Karema Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi wametoa kero ya kutokupata mikopo ambayo itawasaidia kuendeleza biashara zao.
Wanawake hao...
Kuna kitu cha ajabu kidogo kinaendelea hapa Tanzania kuhusu magari yenye plate number zenye maandishi ya SSH zikifuatiwa na namba za 25 30, 2025 30, nk
Nimewahi kudadisi na kuchunguza kupitia...
CCM mtuambie hizi ndege zimetoka kwenye taasisi gani?!
Tunaozijua tumeshajua zimetoka wapi, maana hazina utofauti na zile zilizotumika kutoa msaada kwa wahanga wa maporomoko ya Mlima Hanang...
Watumishi wa Halmashauri ya MADABA Mkoa wa RUVUMA katika idara ya elimu sekondari.
Changamoto kubwa tunayoipitia kama Walimu ni kuwa fedha za nauli ya likizo ya malipo kwa Mwaka 2024 Mwezi wa 12...
Wakuu!
Mnakumbuka Agosti 28, 2025, Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika Viwanja vya Tanganyika Packers, jijini Dar es Salaam...
Unapewa usaini karatasi ya BIMA halafu baada ya hapo unapewa dawa pungufu ya zile zilizo andikwa kwenye fomu ya bima au vipimo na wengine wanaenda mbali wanakwambia sehemu ya tarehe usiijaze na...
Kuna uovu unaendelea kwenye halimashauri ya bagamoyo na wizara ya ardhi ambapo kuna watendaji wanabiashara ya siri ya uchuuzi wa viwanja kwenye maeneo ya wananchi kwa kutumia migogoro hasa ya...
Viongozi watupie jicho eneo hili la Kariakoo kuna wimbi kubwa la kundi la watu limekuwa likikamata Bodaboda wakishirikiana na baadhi ya Wanausalama na kuchua rushwa kuanzia elfu 10 mpaka 20...
Salam wakuu,
Kama mada inavyojieleza hapo juu, like a week ago kuna jamaa yangu mmoja familia yake nzima ilikumbwa na ugonjwa wa kuharisha. Nikamwambia inawezekana pengine ni food poisoning...
Ruhunga Secondary iliyoko katika Mkoa wa Kagera, Bukoba Vijijini, Tarafa Rubale, Kata ya Ruhunga, wana utaratibu kwa Wanafunzi wa madarasa yenye mitihani (Form 2 & 4) kuweka kambi Shuleni kwa...
Kwa kawaida, Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamekuwa wakitoa tuzo za msimu mara baada ya ligi kumalizika, lakini safari hii mambo yamekuwa kimya. Mashabiki na wadau...
Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka.
Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.