DOKEZO Threads

Kila nayemuuliza anakumbia bili ya maji ya mwezi January inayotumwa mwezi huu imekuwa kubwa kupita maelezo. Binafsi nyumba nayolipa bili unit 12 bili mwezi huu imekuja unit 125. Nadhani kuna...
1 Reactions
6 Replies
254 Views
Samia wewe ni Rais lakini pia ni mama huku Makurunge kata ya kiluvya madukani katika wilaya ya kisarawe mkoa wa Pwani wanawake na mabinti wanapitia madhila ya kuvamiwa katika nyumba zao na vijana...
8 Reactions
62 Replies
1K Views
Mkuu wa idara ya biashara Manispaa Kigamboni gawa madaraka kwa wengine wakusaidie kupitisha leseni, haiwezekani maombi yashapita idara zote kuanzia mipango miji kwa siku moja lakini maombi hayo...
1 Reactions
7 Replies
141 Views
Anonymous
DOKEZO 
Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe. Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh...
4 Reactions
3 Replies
299 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari! Kumekuwa na changamoto ya ulipaji na ufuatiliwaji wa NSSF kwa upande wa baadhi ya makampuni ya Dar es Salaam. Wamiliki wengi wa makampuni hutoa rushwa kuhonga maafisa wa NSSF, hivyo...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Anonymous
DOKEZO 
INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu...
1 Reactions
3 Replies
267 Views
Jana nimetumia ukurasa huu kulipongeza Jeshi la Polisi wilayani bunda kwa operation iliyofanyika majuzi ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa wahalifu watatu waliokuwa wakikabiliwa na tuhuma nyingi...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
KILIO CHA WAFANYAKAZI WA MRADI WA UMEME RUVUMA: Miezi 8 Bila Malipo, Maisha Ni Magumu! Habari wana.JF Mimi ni MDAU nipo kwenye mradi wa usambazaji wa umeme vijijini (REA) mkoa wa ruvuma...
3 Reactions
20 Replies
519 Views
Waziri wa Elimu Kaka yangu Profesa Adolf Mkenda, naandika haya kukujuza haya. Vyuo vya kati vilikuwa kimbilio letu la watoto wanaosoma shule za kata, shule ambazo wanafunzi wanaweza kumaliza mwaka...
3 Reactions
9 Replies
759 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Napenda kutoa taarifa hii ili kufichua vitendo vya urasimu na ukiukwaji wa taratibu katika zoezi la utoaji wa nafasi za kujiunga na Shule ya Nyanza English Medium kwa Mwaka wa masomo 2026, hususan...
3 Reactions
18 Replies
649 Views
Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi...
3 Reactions
3 Replies
383 Views
Katika shule ya sekondari Bakoba iliyopo kata Bakoba Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera imekuwa na utaratibu wa kuaagiza wanafunzi wote karatasi za Rimu kuripoti nazo kila mwezi Januari kama ilivyo...
0 Reactions
2 Replies
197 Views
Nikiwa kama mmoja wa waratibu wa Klabu za waandishi wa Habari Tanzania tuliyokuwa tunafanya kazi na UTPC tunaomba kupaza saut zetu ili tusaidiwe kupata haki yetu. Tumekaa bila mshahara tangu...
0 Reactions
0 Replies
188 Views
Anonymous
DOKEZO 
Wazazi na wanajamii wa shule ya sekondari Fulwe iliyopo Morogoro vijijini tunapata tabu sana na Mkuu wa shule Ndugu David Nduye. Mwalimu huyu ameanzisha michango lukuki hapo shuleni kiasi kwamba...
0 Reactions
4 Replies
207 Views
Anonymous (54df)
DOKEZO 
Hili suala linaumiza sana; nje ya kuwa ni sehemu ya majukumu yake. Wana vikundi wanaopata mkopo anawadai hela katika kila milioni moja anataka 50,000. Hii si sawa kabisa. Hawa wana vikundi...
1 Reactions
2 Replies
225 Views
Anonymous
DOKEZO 
Barabara ya Arusha - Moshi mwaka jana ilikuwa inafanyiwa ukarabati maeneo ya KIA, King'ori na Kikatiti. Ukiangalia maeneo yaliyokarabatiwa sio yale yenye mashimo sana na kuna maeneo walikarabati...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Anonymous
DOKEZO 
Husika na kichwa hapo juu, Mimi ni dereva wa mabasi ya abiria Mkoa wa Rukwa. Nimeshindwa ku-renew leseni yangu kutokana na kukosa cheti cha PSV C PLAIN. Hivyo, nilipata taarifa kuwa Chuo cha VETA...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
👉Wanafunzi wengi nchini hasa kutoka kaya masikini hujiunga chuo kikuu Cha Dodoma UDOM sababu ya ada nafuu na ukubwa wa chuo hiki, japo asilimia kubwa gharama za maisha Jijini Dodoma kuwa juu...
0 Reactions
3 Replies
264 Views
cnx
DOKEZO 
Hili ni swali linalohitaji ufafanuzi: kwa nini vijana waliyoitwa kwenye usaili wa Zimamoto kuanzia tarehe 15 Disemba 2025 hadi tarehe 20 Disemba 2025 hawakupata nafasi ya kwenda kwenye mafunzo...
2 Reactions
15 Replies
407 Views
Leo asubuhi nimekutana na video mbili zinazosambaa sana mitandaoni ambazo kwa kweli zinahuzunisha na kusikitisha. Video hizo zinaonyesha vijana wawili wakipigwa vibaya kwenye miguu yao kwa kutumia...
4 Reactions
24 Replies
680 Views
Back
Top Bottom