Bodaboda tunapopeleka abiria SGR Asubuhi mara nyingi wanatukamata kisa tunashusha abiria nje ya eneo la jengo lao pale, wanatoa maelekezo kuwa wanataka tushushe ndani ya eneo la maegesho lililopo...
Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi. Mimi niliajiriwa katika kampun ya Tanzania Tooku Garments Company Limited na nimemaliza mkataba wangu kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni wa muda...
Nimekuwa nikisikia tu jinsi watu mbalimbali wanavyowalalamikia staff wa TRA Tanzania lakini sasa nimepata kushuhudia mwenyewe maana nina miamala inayonilazimu niwepo mwenyewe huko TRA...
Mwalimu mkuu wa Daniel Ole Njoolay Secondary School Mwanza amewafukuza wanafunzi wa kidato cha nne na kuwachapa viboko vitano, akiwaambia wafuate Tsh 70,000 kila mmoja kama hela ya kambi.
Kwani...
Tunataka usawa, kwa wanafunzi wote na siyo udanganyifu unaendlea kutendeka maamuzi yasiyo na usawa ikiwa wote tumestahili adhabu.
Ni kivipi wachache watumikie adhabu na wengine kusamehewa pasipo...
Napenda kutoa pongezi na shukhurani za dhati kwa idara ya kupambana na kuzuia rushwa Tanzania na mkoa wa Tabora (TAKUKURU).
Naomba maafisa TAKUKURU Wilaya ya Uyui, Mkoa wa Tabora, muweze...
Tembelea, Kijiji Cha Itumbi, kilichopo kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.
Kuna wachina ambao ni wa Tanganyika na wanajiandaa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025...
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli.
Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu...
Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara.
Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana...
Habari za leo kaka? Naomba utusaidie kupaza sauti ili haki iweze kutendeka. Mdogo wetu Enock Thomas Mhangwa (25), mkazi wa Runzewe, Geita, ameuawa kwa kupigwa na viongozi wa serikali ambao ni...
Habari!.
Fikisha kwa jamii.
Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa...
Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache...
Kama mdau wa utalii wanauza ndani sijawahi kuridhishwa wala kupatiwa majibu kuhusu inaitwa uwekezaji kwenye bandas za Mpanga Kipengere Game Reserve iliyopo Njombe.
Nia ovu ilianza kipindi Mhe...
Kwa muda mrefu sasa, wafanyakazi wa kigeni waliokuwa wakifanya kazi katika mradi wa reli wa Yapi Merkezi hapa Tanzania hawajalipwa mishahara na mafao yao. Sababu kubwa ni kwamba Shirika la Reli...
Kuna wizi unafanywa na mawakala wanaokata gate pass za kukuruhusu wewe abiria kuingia kwenye stendi hiyo. Kawaida ukifika kituo hicho inabidii ukate gate pass yenye thamani ya Tsh 200, na unapewa...
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa.
Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu...
Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi...
Huu ndio mchakato wa kuomba mikopo ya halmashauri maarufu kama mikopo ya asilimia 10 huanzia ngazi ya kitongoji, kijiji au mtaa.
Katika hatua hii ya mwanzo, kikundi cha watu wasiopungua watano...
Habari ndugu.
Ningependa kufichua uovu wa rushwa unao endelea katika vituo vya ukaguzi wa mazao ya kilimo na mali asili vilivyopo njia ya kutoka Segera kuja Dar kupitia Bagamoyo.
Wale mabwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.