DOKEZO Threads

Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la baadhi ya vijana wanaojiita watengeneza maudhui ya mtandaoni, lakini njia wanazotumia si sahihi na zinakiuka maadili ya kijamii. Mmoja wa...
3 Reactions
16 Replies
453 Views
Nimesoma taarifa hii nachelea kusema kuwa Kenneth Simbaya amalizane na hao waratibu. Hii ni aibu na fedheha kwa Taasisi kubwa nchini. --- TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKIUKWAJI WA HAKI ZA AJIRA...
1 Reactions
1 Replies
213 Views
Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea. Mara...
3 Reactions
4 Replies
325 Views
Anonymous (e563)
DOKEZO 
Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana...
1 Reactions
1 Replies
152 Views
Anonymous (b69f)
DOKEZO 
Kila mwezi halmashauri hupokea kiasi Cha pesa kutoka serikali kuu Kwa ajili ya uendeshaji wa Idara mbalimbali ikiwemo pesa malipo ya mda wa ziada Kwa watumishi, Kuna baadhi ya miezi watumishi...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
Uwanja wa michezo wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid ni uwanja wa michezo uliopo katika jiji la Arusha Uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu (soka)na shughuli nyingine...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Inashangaza kuona Waziri Mkuu akitoa taarifa ambazo hazijafanyiwa uchunguzi mbele ya umati wa watu. Katika sekta ya afya nchini Muunguzi na mkunga ni kiungo muhimu sana, ni vibaya na aibu kuona...
3 Reactions
4 Replies
270 Views
Anonymous (2197)
DOKEZO 
Wakulima wa tumbaku wa Kata ya Kasuga, Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma tumedhulumiwa fedha malipo yetu tangu Mwaka 2025, hela yetu haijalipwa, tumekosa Watu wa kutupazia sauti. Muda mrefu umepita...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
Yoda
DOKEZO 
Kwa ujumla na kiuhalisia, baadhi ya Wabongo ni watu wanaofanya mambo kwa taratibu na kujivuta. Hata hivyo, kwenye duka la dawa (pharmacy) ni eneo ambalo mtu anapaswa kujitahidi kufanya mambo kwa...
20 Reactions
130 Replies
2K Views
Anonymous (c723)
DOKEZO 
TATIZO LA BARABARA (KWARE - MBOSHO - LEMIRA - MASAMA MULA) Barabara hii ni mbovu kupitiliza na imekuwa kero kubwa. Mbaya zaidi, mwekezaji wa hapa Mbosho amepanda uzio wa miiba uliotanuka hadi...
0 Reactions
3 Replies
156 Views
Anonymous (f012)
DOKEZO 
Ufisadi wa kutisha unaendelea kwenye Ushirika wa Korosho,Mtwara Masasi Union Co operative(Mamcu). Kulipana Posho na Safari za nje Viongozi wamekuwa walipwa posho bila kufanya kazi(Hewa] na...
1 Reactions
4 Replies
171 Views
Anonymous
DOKEZO 
Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki moja au utoe Rushwa 50,000 Sisi madereva na wamiliki wa Bajaj Morogoro tumechoshwa na usumbufu wa makundi ya watu wa...
1 Reactions
1 Replies
173 Views
Juzi nimempoteza ndugu yangu tena kizembe kabisa ni kwa vile sikuwepo,Competent doctors wote mmeondoka hospital imeshikiliwa na intern doctors! Hospital ya rufaa inashikiliwa na interns mko...
3 Reactions
12 Replies
281 Views
Nina ndugu yangu ambaye anauza duka Mitaa ya Sinza, hilo duka siyo mali yake, yeye ameajiriwa tu, jana tarehe 5 Machi, 2026 kuna maafisa wa Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo walipita...
0 Reactions
16 Replies
768 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna tabia mbaya inayofanywa na watumishi wa hospitali za umma. Wakigundua mgonjwa (hasa wa kulazwa) anatumia cash na yupo kwenye hali mbaya, huwa wanawanunulisha ndugu madawa mengi ambayo...
1 Reactions
3 Replies
211 Views
Anonymous (7bcd)
DOKEZO 
Naomba nifichue huu uovu wa baadhi ya Maafisa wa Uhamiaji waliopo Wilaya ya Muleba, wameweka “Road Barrier” maeneo ya Kasindaga wamekuwa na tabia ya kula rushwa hao na kunyanyasa watu wanaopita...
1 Reactions
5 Replies
281 Views
NB: Picha kutoka mtandaoni Lilikuwa ni wazo jema sana kuanzisha kampuni za uzoaji taka kwenye Jiji na hata kwenye maeneo ya makazi ya watu ili kuweka Jiji safi na kuondoa taka mitaani ili kuuweka...
0 Reactions
3 Replies
196 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Kumezuka tabia mpya geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kuna baadhi la Jeshi la Polisi wakishirikiana na SUMA wanasimamisha pikipiki kwa kigezo cha kuwakagua na kisha wanachukua pesa kwao...
1 Reactions
0 Replies
227 Views
WAkuu habari, Moja ya taasisi ambazo ni muhimu nchini ni MAHAKAMA ambazo kisheria zinawajibu wa kusimamia haki na Sheria. Sambamba na Hilo raia wanategemea Kuona unafuu wa kupata haki/...
1 Reactions
3 Replies
179 Views
WANAFUNZI 33 wa udaktari wa binadamu waliohamishwa na Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) kutoka Chuo Kikuu cha Mwanza (MzU) kwenda Chuo Kikuu cha Katoliki cha Sayansi na Afya Shirikishi (CUHAS), wameiomba...
3 Reactions
13 Replies
503 Views
Back
Top Bottom