Make : BMW
Model : 318I (M - sport)
Mileage : 101000km
Engine size : 1990 cc
Drive : Two wheels drive (2WD)
Steering : Right hand drive (RHD)
Transmission : Automatic
Color : NAVY...
kuna Nissan X Trail iko Z'bar for now inauzwa Tzs 12Million. Mwenyewe aliingiza Nov last year likiwa jipya. Nicheki hapa 0712016405. Kama picha hazionekan vzr nitakutumia nyingine whatsapp. Kama...
GARI CRESTA GX100 IPO VIZURI NA KULIPIWA VIBALI VYOTE TAYARI KWA MATUMIZI ..KWA ALIYE TAYARI SERIOUS CUSTOMERS ANICHEK HEWANI 0717 659 926 ..LOCATION NI DAR ES SALAAM ..KARIBU, BEI NI 4.5 MIL
Gari ni Nissan NAVARA, nyeusi ipo katika hali nzuri sana, namba ni C bado ni kama mpya, bei ni 25M maongezi yapo, karibu ujichukulie kitu safi, kwa picha zaidi niche kwa 0713415537
Habari za mchana wakubwa,
Moja kwa moja niende kwenye mada.Nahitaji toyota mark x namba yoyote ile hata A kikubwa iwe katika hali nzuri.Bajeti yangu 8million.
Asante na karibu kwa kuchangia kama...
Nataka landcruser v8 ya mwaka 2013 /14,diesel an auto budget dollar 85k,km unayo au unaconnection na mtu ambaye anayo nicheck hapa 0678224427,isiwe ya kusubiria
Nauza gari Nissan Primera rangi yake ni Maroun. Engine capacity ni 1990cc.
Fuel: petrol
Imported in 2012 from Japan ..
No accident history
Location.... Dar es salaam
Price.. 9 millions...
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.tuliinunua kwa matumizi ya familia baadae tukaona tuisajili kama daladala.lengo la kuuza ni kwamba tunahitaji kuagiza nissan civilian hvyo tumefikiria kuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.