Car4Sale Nissan Caravan for sell

Yimakatso

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
6,963
9,307
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.tuliinunua kwa matumizi ya familia baadae tukaona tuisajili kama daladala.lengo la kuuza ni kwamba tunahitaji kuagiza nissan civilian hvyo tumefikiria kuuza hii ili ipatikane hela ya kuongezea.Ni ni number D.Ni petrol,auto ,6 cylinders.hakuna udalali ukihitaji nichek 0712484858.nipo dar.
250f1d31aea788050042f8466713b0f3.jpg
5eefcb3fe9d545e8bc6ea2a30c09f303.jpg
6ce6fc01cf817130081f458179ba03fc.jpg
b33419271b266b82f8740b5d6b7daa7f.jpg
bf2a287a4cae33d3702bee77cd670bd1.jpg
.
 
Mkuu,
Katika bandiko lako umepatia kila kitu kwa asilimia 90... Ila umeacha kitu cha msingi sana ambacho ni Bei ya hiyo gari. Ungeweka tu hapo ili kila mtu ajipime kwa ubavu. Mimi gari imenivutia.
 
Mkuu,
Katika bandiko lako umepatia kila kitu kwa asilimia 90... Ila umeacha kitu cha msingi sana ambacho ni Bei ya hiyo gari. Ungeweka tu hapo ili kila mtu ajipime kwa ubavu. Mimi gari imenivutia.
Samahani mkuu.bei 20m maelewano yapo.gari haijaguswa mashine bado mpya kama inavyo onekana.
 
Samahani mkuu.bei 20m maelewano yapo.gari haijaguswa mashine bado mpya kama inavyo onekana.
Bila samahani mkuu..usijali. Shukrani kwa kuweka hiyo bei...nazifahamu hizo gari ni nzuri na ngumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom