Car4Sale TOYOTA PRADO INAUZWA

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,303
IMG_20160308_120338.jpg
Maker : TOYOTA

Model : LAND CRUISER PRADO

Manufactured year/month 2013/7

Mileage : 51,000km

Engine size : 2,690 cc

Fuel : Gasoline/Petrol

Steering : right

Transmission : Automatic

Drive : 4WD

Color : BLACK

Door : 5

Seat : 7


OPTIONS :

* Airbag *ABS * Alloy Wheels * Sunroof * Reverse radar * Rear Spoiler * FOG * Side Steps * Navigation * Bluetooth Monitor * Push Start *

Price : Tshs 98,000,000/=

Bei Imejumlisha

Ushuru pamoja na usajiri wote wa gari ✅

CONTACTS :

ecarstanzania@gmail.comView attachment 328140
IMG_20160308_011255.jpg
IMG_20160308_011750.jpg
IMG_20160308_031458.jpg
 
MAGU ANAJUA INAUZWA?...KODI INALIPWAJE MUKISHAUZIANA?...NA UANAYENUNUA HIYO PESA YA KUNUNULIA UMEITOA WAPI?..KWA MSHAHARA GANI?...WEKA MAHESABU YAKO VIZURI NDIO UNUNUE GARI LA KIFAHARI.....

ANYWAY....ZETU DAGAA KUKU TAMAA.
 
View attachment 328147 Maker : TOYOTA

Model : LAND CRUISER PRADO

Manufactured year/month 2013/7

Mileage : 51,000km

Engine size : 2,690 cc

Fuel : Gasoline/Petrol

Steering : right

Transmission : Automatic

Drive : 4WD

Color : BLACK

Door : 5

Seat : 7


OPTIONS :

* Airbag *ABS * Alloy Wheels * Sunroof * Reverse radar * Rear Spoiler * FOG * Side Steps * Navigation * Bluetooth Monitor * Push Start *

Price : Tshs 98,000,000/=

Bei Imejumlisha

Ushuru pamoja na usajiri wote wa
 
Hapana.nina 3 milion tu kama utaniongezea ntashukuru mkuu.

Daaah!! Hapa ndo tunaposema mtu ana tamaa, una m3 unataka gari ya 90m!! Matokeo yake ni kutibuliwa kinyesii then gari unapewa buree na hiyo m3 yako unabaki nayo na unaongezewa zingine mara kumi ya hizo teh teh teh!!
 
Daaah!! Hapa ndo tunaposema mtu ana tamaa, una m3 unataka gari ya 90m!! Matokeo yake ni kutibuliwa kinyesii then gari unapewa buree na hiyo m3 yako unabaki nayo na unaongezewa zingine mara kumi ya hizo teh teh teh!!
Noted.
 
Ford Explorer. Inatakiwa 30milView attachment 328154


Habari Chiwaso

Nadhani ulichokifanya sio hekima na ninaomba usije kurudia tena sio tuu kwa Thread Yangu bali hata kwa threads za watu wengine pia.

Kwanini usiweke thread yako mwenyewe ukalitangaza gari lako.?!

Hizo boashara za namna hio hua wanafanya vijana wahuni - huni wasio na elimu yeyote ya biashara.


Natumai umenielewa.



MAGARI7
 
Usiumie roho, maisha ni hatua.

Life is a learning experience. Don't give up, Muombe Mungu atakuwezesha kwa maana kwake hakuna linaloshindikana.

IKIWA UNAUMIA roho kwa sababu labda uliuziwa gari kama hili kwa bei ghari mno,au ulipoteza gani kama hilo kwa namna fulani.

Kumbuka kwamba, life is a learning experience.

Don't worry!

Cc : J33
 
Wewe umetengeneza shillingi ngapi hadi sasa hivi.??
 
Wewe umetengeneza shillingi ngapi hadi sasa hivi.??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom