MSAADA WANA JF...NINA SHIDA NA ZILE MASHINE ZA JUX BOX NA MASHINE ZA KUCHEZESHEA MICHEZO YA KUBAHATISHA MWENYE KUNISAIDIA TAFADHARI MAENEO ZINAPOPATIKANA
Wakuu,
Ninauza Coaster Bus safi inafanya kazi ya daladala kati ya Temeke na Muhimbili. Gari ipo vizuri kama inavyoonekana katika picha na ipo barabarani inaendelea na kazi. Bei ni Mil. 13...
Hbr zenu wananchi wa JF, natumaini kwa uweza wake Maulana hatujambo.
Kama bango linavyojieleza, nauza gari aina ya Toyota Starlet.
Imelipiwa vibali vyote na ipo kwenye hali nzuri kabisa...
Make : Toyota
Model: Landcruiser
Model Number: PZJ
Engine: IPZ
Price: Milioni 14
Mahali lilipo: Dar es Salaam
Condition: USED, New Battery, 4 new tires
Year: 1992
Mileage: 372973
Transmission...
Nisingependa kuwa muongeaji sana wa Tangazo hili, bali ningependa nikupe nafasi ya kuweza kupata kile kilicho bora na imara zaidi(Roho ya paka) na kuepukana na ghasia za mwendokasi na madalala...
Maker : TOYOTA
Name : ALPHARD
Mileage : 140,000 km
Engine size : 2,360 cc
Transmission : Automatic
Drive : 2WD
Color : GRAY
Steering : right
Manufactured year/month : 2004/4
Door : 5...
Make : Toyota
Model : Landcruiser
Mileage : 127,000 km
Engine size : 4660cc
Fuel : Gasoline/Petrol
Drive : Four wheels drive (4WD)
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ext. Color : Pearl...
Habari zenu wakuu, nauza Toyota Starlet Carat, bei ni Tsh 6.5 maelewano yapo.
Gari ipo kwny hali nzuri, vibali vyote vipo.
Imetembea takribano 83,000km, nimeambatanisha na picha zke hapo chini...
Mambo zenu wakuu, nauza Toyota starlet Carat 6.5 Milioni, ina mziki, AC, haina tatizo kbs.
Kwa muhitaji awasiliane na mm kwa simu namba 0717 54 73 25.
Pia tunaweza kubageni.
Gari iko vizuri sana na haina tatizo lolote
Ina 4wd
AC iko safi
Automatic gear
Inatumia petrol
Power windows
Model ya mwaka 1997
Bei ni milioni 9 tu.
Angalia picha ukipenda karibu tufanye biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.