Car4Sale Gari Cresta inauzwa, ipo Dar

kyerwaka

Member
Mar 5, 2016
16
3
GARI CRESTA GX100 IPO VIZURI NA KULIPIWA VIBALI VYOTE TAYARI KWA MATUMIZI ..KWA ALIYE TAYARI SERIOUS CUSTOMERS ANICHEK HEWANI 0717 659 926 ..LOCATION NI DAR ES SALAAM ..KARIBU, BEI NI 4.5 MIL
 

Attachments

  • IMG_20160108_144101.jpg
    IMG_20160108_144101.jpg
    122.4 KB · Views: 66
  • IMG_20160207_113338.jpg
    IMG_20160207_113338.jpg
    84.4 KB · Views: 60
Mbona unaonyesha kwa kuficha?harafu hutoi maelezo yakaeleweka ina namba gani?picha inaonyesha ubavuni kwa maana ya nje tu unauza gari au body ya gari?
 
Onesha full picture gari lionekane looote na sio unaonesha ubavu tu hakuna mtu ananunua gari kwa kuliangalia ubavuni
 
Jini linauzwa.... linakunywa mafuta hiloo balaaa! 4.5??? umeishusha sana
 
kwa maelezo zaidi unicheki hewani.. wengine humu porojo nyingi zisizokua na maana.
 
JF kuna raha wallahi duh yaani hizi picha kama ulikua unavizia vile wakati mwenyewe hayupo,na wewe kua serious basi weka maelezo ya kutosha na picha nzuri
 
Ebu angalia wenzako wajapani wavavyouza Gari online upate mwanga wa jinsi ya kuuza magari .Mjapan anaweka picha zaidi ya 30 anaonyesha kila angle.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom