Car4Sale Nissan X Trail ipo kwa bei nzuri

sundoka

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
2,067
2,757
kuna Nissan X Trail iko Z'bar for now inauzwa Tzs 12Million. Mwenyewe aliingiza Nov last year likiwa jipya. Nicheki hapa 0712016405. Kama picha hazionekan vzr nitakutumia nyingine whatsapp. Kama huipendi kaa kimya. Sio kuharibu biashara za watu. Tuache uswahili
1457850493396.jpg
1457850559931.jpg
1457850600479.jpg
1457850655259.jpg
 
Umetoa tangazo kwa tahadhari sana kiasi kwamba unamtisha hata mteja.

Duc in Altum
 
Unasema ikiwa mpya unamaanisha brand new au mpya ya wabongo?
Namba ya cm hauioni au ndo... Kila kitu kingekuwa kinawezekana hapa sidhan kama ningeweka namba ya simu. Sidhan kama kuna anaependa kutangaza namba yake ya cm boss. Kqma uko interested chukua namba uulize maswali yako yote hata ambayo ungeona aibu kuyauliza hapa. Vinginevyo hata kukaa kimya sio ujinga
 
Mi nilikua nakuchangamshia uzi wako usitoke kwenye new posts!ila kama unaona vp poa.
 
Braza Sundoka nini kimekusibu? Mbona mkali kama mbogo? Biashara ni kauli nzuri mkuu.
Pamoja mkuu. Hapa JF unapajua vzr boss. Usipokuwa serious unaweza ukakuta uzi wa biashara unavamiwa na wadau wa MMU wanaleta maswali ya mapenzi hapa. Otherwise ahsante kwa kujali
 
Mwingine ataanza kubagain bei hapa hapa wakat namba anaiona. Sometimes we need to change
 
Kuna ubaya gani akibagain mkaelewana? anyway vibali vikoje maana kuna ile list ya TRA duh inatish nayo!
 
Mnanipa mtihani sana wadau. Sio wote JF ni mahala petu pa kutembelea muda wote ndo maana nikaweka namba. Nia yangu sio mbaya ya kusema ambae yupo interested achukue namba yangu aniulize direct ila najua mtu anaweza akawa yuko interested na anaitaka urgently akauliza swali alafu mimi nisiingie JF kwa masaa au siku kadhaa akawa amekwama na mimi nimekwama. Ndo maana natoa namba na nasisitiza ambae yuko interested achukue namba.

Pia hii inasaidia kukuta text chache zenye maana coz unaweza kuta thread yako imevamiwa na warembo wa MMU wanauliza maswali ya kishost hapa na kukenua kenua meno tu. Kama sisi tunaoingia JF kwa mbinde ukija kuingia JF unakuta thread imeshakuwa na page 5 mpaka unashindwa kuchambua ipi ya mteja ipi ya shangingi. Sorry kama nawakwaza.

Back to ur question ukitaka niilete mwenyewe hapa Dar nitauza kwa 15M. Nasisitiza tena kama upo serious nichek kwa namba yangu twende sawa smoothly mkuu. Be blessed
 
Namba ya cm hauioni au ndo... Kila kitu kingekuwa kinawezekana hapa sidhan kama ningeweka namba ya simu. Sidhan kama kuna anaependa kutangaza namba yake ya cm boss. Kqma uko interested chukua namba uulize maswali yako yote hata ambayo ungeona aibu kuyauliza hapa. Vinginevyo hata kukaa kimya sio ujinga
Punguza ukali ndugu, biashara inahitaj uvumilivu
 
Mnanipa mtihani sana wadau. Sio wote JF ni mahala petu pa kutembelea muda wote ndo maana nikaweka namba. Nia yangu sio mbaya ya kusema ambae yupo interested achukue namba yangu aniulize direct ila najua mtu anaweza akawa yuko interested na anaitaka urgently akauliza swali alafu mimi nisiingie JF kwa masaa au siku kadhaa akawa amekwama na mimi nimekwama. Ndo maana natoa namba na nasisitiza ambae yuko interested achukue namba.

Pia hii inasaidia kukuta text chache zenye maana coz unaweza kuta thread yako imevamiwa na warembo wa MMU wanauliza maswali ya kishost hapa na kukenua kenua meno tu. Kama sisi tunaoingia JF kwa mbinde ukija kuingia JF unakuta thread imeshakuwa na page 5 mpaka unashindwa kuchambua ipi ya mteja ipi ya shangingi. Sorry kama nawakwaza.

Back to ur question ukitaka niilete mwenyewe hapa Dar nitauza kwa 15M. Nasisitiza tena kama upo serious nichek kwa namba yangu twende sawa smoothly mkuu. Be blessed
...teh teh teh..kwahiyo impliedly umesema 'warembo wa MMU' ni mashangingi....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom