Samahani mkuu inawezekana ni mgeni jukwaa hili nakushauri andika upya bandiko lako likieleza details(specifications)zote za gari,bei na wewe unapatika wapi naamini hii gari utauza hapa JF ila kwa bandiko lako linawapa watu uvivu wa kuhoji.Sorry ninauza
weka ktk TZ sh.basii usiogope vitu vizuri kama hivi watu ndio wanavihitaji daaaaaaaaah mkoko wa maana kwa nn unauza? mbona km uko garage au ni showroom?Negotiable usd 55,000