Kuku wa Kabanga JF-Expert Member Oct 28, 2009 807 368 Dec 24, 2015 #1 Habari zenu wanajf,nauza Suzuki escudo ya mwaka 96,mileage 205,000,Ina cc 1750,milango mitatu,pm kama unahitaji,bei 5m. Attachments 1450968265184.jpg 59 KB · Views: 194 1450968298301.jpg 41.7 KB · Views: 162 1450968327841.jpg 52.9 KB · Views: 164
Habari zenu wanajf,nauza Suzuki escudo ya mwaka 96,mileage 205,000,Ina cc 1750,milango mitatu,pm kama unahitaji,bei 5m.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Jun 23, 2012 14,083 8,374 Feb 22, 2016 #2 Duh mkuu hii kwa bei hii utauza lini? ungefanya hata 2.5M huenda ungeuza, inaonekana kidogo umri umeenda
Duh mkuu hii kwa bei hii utauza lini? ungefanya hata 2.5M huenda ungeuza, inaonekana kidogo umri umeenda
Step by step JF-Expert Member Apr 28, 2014 1,160 1,283 Feb 25, 2016 #3 gari nzuri ila kwenye njia za vumbi huwa vina dunda dunda sana kiuno hoi hukimbii speed 40