Car4Sale Sale ya gari Nissan

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Oct 7, 2015
204
210
Nissan Almera for sale for 4.8 m

Specs
2003 yr
Cc1700
Km110,000
5Doors
Automatic
In Good condition

Contact me through 0659 594 994 or pm
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    220.2 KB · Views: 46
  • image.jpeg
    image.jpeg
    193.1 KB · Views: 40
  • image.jpeg
    image.jpeg
    227.1 KB · Views: 38
  • image.jpeg
    image.jpeg
    110 KB · Views: 42
  • image.jpeg
    image.jpeg
    136.5 KB · Views: 41
Last edited:
Ndugu hii Nissan yako bado ipo?tatizo gari lako unauza likiwa na Kadi tu,File hauna sasa hiyo ni changamoto!Mimi nilikuja na cash mkononi mpaka Kimara ili ninunue gari hili,nakuuliza File la gari liko wapi unanipa Kadi tu unasema File mpaka ukatafute nyumbani,tukalubaliana siku ya pili ukilipata unijulishe nije kulipia umeingia mitini wiki ya pili sasa!!!
 
Ujanja ujanja mjini tu. File muhim sana isije ikwa gari la wizi kapewa kadi na data system wa tra na gari limepigwa mahali
 
Back
Top Bottom