Jozee mkunaji
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 459
- 614
Unaanzaje kumwambia mama ako mdogo Kaa vzur? Kijana kuwa serious basi jua kabsa kuwa unavyo Mwambia Kaa vzur ndivyo unavyozidi kumwambia aongeze juhudi maana Anajua kabsa akili yako iko kwake cha kufanya ni kuwa maamzi ya kiume either Ule au uache