Wazo la kuanzisha Redio ya kikabila sio zuri,huu ni wakati wa kuuzidisha umoja wetu na sio kuugawa umoja wetu.Hayo mataifa uliyoyataja hapo kuna baadhi ya Wananch wanatamani kuwa WaTz.Rwanda wao wanajitahidi sana kuufuta ukabira na hawataki hata kuusikia hili ni Taifa linalopaswa kuigwa kwa...
iman nyengine bana hamna lolote ila fanya yote sio saa saba mchana au usiku
Hapo cjakupata Mkuu,hebu nijuze kunani hio Saa saba,maana mim huwa nafanyga tu wala cjui saa wala muda
Kipind kile kupata papuchi inabidi usafe sana hata mwaka utaisha bado hujapewa lkn kwa sasa soko limeshuka hamsumbui kiviile,nakuomba kwa. leo tu hadi kesho utanipa kama hutaki napata kwingine.ndo maana mfadhaiko uneisha lkn tunawashukur mmetusaidia sana maana kuomba papuchi mwaka mim ningeishia...
Pole sana Mpenzi,najua unauma sana lkn naomba nikushaur kidogo.Achana na wazo la kwenda kwa Babu kwan utazidi kupunguza hicho kiasi unachokiona kidogo kwako,na kufanya kitu kigumu namna hio pia kuna asili asikudanganye mtu kama sio asili yako kumfanyia mtu ubaya basi amini pesa zako zitalika na...
Mim huwa napenda sana siti za upande wa Dereva tena zile za nyuma yake upande wa dirishani ili niwe naona mbele kwa urahisi,lkn pamoja na kupenda siti hizo huwa sizikai kutokana na usalama kuwa mdogo kwanza ni upande wa kulia wa barabara ambapo magari hupishana na pili linapotokea tatizo la...
Ukiona hivyo Kiongoz,Harufu ya Papuchi ishakukaa hapo wew kila utakapopita lazima waje wenyewe kama Mbwa kamuona Chatu vile lazima akae. Be care UKIMWI upo na UNAUA.
Pole ndg yangu,unanikumbusha kisa kilichowahi kunikuta kuna Bint niliwah kuwa nae kaka huwez amin nilijinyima kwa kipato changu kidogo ili nimlizishe mwenzangu kipind hiko akiwa anasoma chuo.Baada ya kumaliza tu alianza kubadilika na kuamua kutokupokea simu yangu na hata sms hajibu kibaya zaidi...
Pole Bro,hiyo mambo yapo kiongoz wangu hawa watu sio wa kuwapa asilimia mia moja,ndo maana wengi wanaishia kutendwa tu,isije ikawa wew unampa pesa ya matumizi yey anampa anayemuona anafaa kwake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.