Nahitaji mume wa Kiislam

Nahitaji mume wa Kiislam

wahaya tabia zenu tunazifahamu! wewe umemuona wapi mke wa kiislam akifanywa hivyo? kwani wake wa makafir hawafirwi?

Nyie ndo makafir wakubwa mna tabia chafu sana pyuuu
kutwa kwa waganga na kufuga majini
mfyuuuu
Afu mnakua wa kwanza kunyooshea vidole wengine
 
Nyie ndo makafir wakubwa mna tabia chafu sana pyuuu
kutwa kwa waganga na kufuga majini
mfyuuuu
Afu mnakua wa kwanza kunyooshea vidole wengine
nenda kwa gwajima na mzee wa upako ndio utajua wakina nani wana majini?
 
wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha.


- awe muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi

- awe na elimu kuanzia diploma na kuendelea na awe ameajiriwa au kujitegemea
- awe hajaoa ila kama ana mtoto mmoja sio tatizo
- awe anajimbua/anajua wajibu wa mume kwenye familia
- we na afya njema na mcha mungu

- mimi nina umri wa kuanza maisha
- nina elimu ya chuo kikuu
- nina kazi- nimeajiriwa serikalini
- sijaolewa wala sina mtoto
- ni mcha mungu na nina afya njema
- ni mwembamba – mrefu wa wastani (162cm hivi)

mengine karibu to chat

umri wako?
 
Mtume hakuwa na diproma wala degree wewe hayo umeyatoa ktk aya gani
 
Mimi nitafaa Mimi muislam sina degree Nina miaka 50 mcha mungu mrefu ft 6 1 Inc mweupe natokea znz ila naishi UK kama uko tayari sina mke ila nna mtoto
 
Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha.


- Awe Muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi

- Awe na Elimu kuanzia Diploma na kuendelea na awe ameajiriwa au kujitegemea
- Awe hajaoa ila kama ana mtoto mmoja sio tatizo
- Awe anajimbua/anajua wajibu wa mume kwenye familia
- we na Afya njema na mcha Mungu

- Mimi nina umri wa kuanza maisha
- Nina Elimu ya Chuo Kikuu
- Nina kazi- Nimeajiriwa Serikalini
- Sijaolewa wala sina mtoto
- Ni mcha mungu.
Kama upo siriaz,naomba unichek PM kila kitu kitakuwa sawa,asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom