Nenda mpenzi wangu

Nenda mpenzi wangu

Usiumie sana kaka ndo maisha hayo,naamin kuna ki2 umejifunza,so ww endelea na maisha yako ya kawaida utampata ambaye atakuheshimu na kukupenda milele,wanawake wakipendwaga sana wanabweteka...lazima atakukumbuka tuu
 
Yaaaa.Mkuu wewe isome namba tu.Baadae utatulia tu.
 
Diana Dorini Digna Dorothea Demetria Debora Delila Dativa Deonisia
Dorkas Dolorosa
Pole Mtu Wangu

Ahsante kwa kunipa wigo mpana wa kuchagua majina ya kumpa Ancle wangu aliezaliwa wiki 2 hizi
 
mpe shukrani kwa kuniumiza moyo wangu, mwambie mi bado mahututi nauguza kidonda changu,

Tatizo me bado nilipoteleza nikakosa sipajui, hadi akafunga virago na akaamua kuondoka sitambui

kibaya kinachoniumiza maneno, neno, maneno,
mara kwa ndugu marafiki kutwa kuwapa misemo

Siwezi kung'ang'ania huenda sio fungu langu,
Japo ni shida ila, nitabaki mwenyewe

Yani kipindi cha majonzi nyie mnapiga bongo fleva

Mbona hamna huruma hivi..Mnajua uchungu wa kuachwa kweli??
 
Habari wana jf? Ni siku nzuri na ya pekee sana huwa tuna iita jumapili . Kiukweli nimeamini kweli mapenzi yana nguvu sana pale tu unapo tokea kumpenda mtu kwa dhati pasi kujiegemeza kwa uzuri wa sura, mavazi , pesa , nk . Tarehe kama ya leo mwaka jana ni siku ambayo katu sitokuja kuisahau ni siku ambayo mpenzi wangu ninaye mpenda alinikubalia ombi langu na hii tarehe ndipo nilipo ambiwa neno zuri ambalo kwa sasa hata siitaji kulisikia kutokana na huyu mwanamke niliye mpenda kuto taka kunipenda tena na hii imetokana na umbali tuliokuwa nao nahisi hili ndio tatizo kubwa kwa upande wake . Na ameniomba tubaki marafiki tu sina jinsi ya kufanya na sijawahi kuumizwa au kuhisi kuumia juu ya mapenzi na kwa mala ya kwanza sasa kupatwa na haya maumivu na kikubwa zaidi kinacho niumiza ni kutokuniheshimu napigia simu anakata sms hazijibiwi na nimepata taarifa kuwa kunajamaa anafanya yake na soon wanafunga ndoa . Ujumla wa haya niliyo yaandika ni moja ya njia ya kupunguza msongo wa mawazo najua mungu yu pamoja nami na kiroho safi mpenzi wangu D.... We nenda tu .

Pole ndg yangu,unanikumbusha kisa kilichowahi kunikuta kuna Bint niliwah kuwa nae kaka huwez amin nilijinyima kwa kipato changu kidogo ili nimlizishe mwenzangu kipind hiko akiwa anasoma chuo.Baada ya kumaliza tu alianza kubadilika na kuamua kutokupokea simu yangu na hata sms hajibu kibaya zaidi sikuwahi kumgegeda pamoja na kunilia vyote hivyo,kila nikimkumbuka naumia sana naishia kumuona fb tu.
 
Yani kipindi cha majonzi nyie mnapiga bongo fleva

Mbona hamna huruma hivi..Mnajua uchungu wa kuachwa kweli??
Kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli peku,
Mbaya zaidi kwa yule uliyempenda,
Wewe unakonda, yeye ananenepa
Kwa mawazo ooh kwa mawazo.

Daddy we just tryn to cheer him up. Ingekuwa ni msichana ningejitahidi nimlize. Kulia kunasaidia sana kupunguza maumivu. Ni mapito tu haya, ipo siku atatazama nyuma na kujicheka tu. God is good
 
pole Mungu yupo atakupa wako mengine hayana budi kuja ili mazuri yatokee jipe moyo omba Mungu atarudisha furaha yako
 
Kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli peku,
Mbaya zaidi kwa yule uliyempenda,
Wewe unakonda, yeye ananenepa
Kwa mawazo ooh kwa mawazo.

Daddy we just tryn to cheer him up. Ingekuwa ni msichana ningejitahidi nimlize. Kulia kunasaidia sana kupunguza maumivu. Ni mapito tu haya, ipo siku atatazama nyuma na kujicheka tu. God is good

Naelewa Douta..
Ila Daddy yako sijui hajui kupenda..Mana hajawahi kuteseka kwa ajili ya mapenz
 
Pole ndg yangu,unanikumbusha kisa kilichowahi kunikuta kuna Bint niliwah kuwa nae kaka huwez amin nilijinyima kwa kipato changu kidogo ili nimlizishe mwenzangu kipind hiko akiwa anasoma chuo.Baada ya kumaliza tu alianza kubadilika na kuamua kutokupokea simu yangu na hata sms hajibu kibaya zaidi sikuwahi kumgegeda pamoja na kunilia vyote hivyo,kila nikimkumbuka naumia sana naishia kumuona fb tu.

Pole sana mkuu! Ngoja magufuli afungue hizo mahakama za mafisadi, hakika huyu binti anastahili kufikishwa kwa korti mbele ya Pilato. Haiwezekani ujinyime hivyo halafu akutose kwenye Gegedo. #Zuwa
 
jipe moyo Mungu atakupa wako shukuru kwa kila jambo
 
Back
Top Bottom