Ila mambo ingine tuwe tukifikiria kidogo. Umekuwa samaki??? Miye nikifikia mshindo huwa nahema kwa nguvu sana tena haraka sasa, nikiwa huko chini kwenye maji, si binti wa watu atajikuta na RB ya mada jamani? Ptuuu. Sifanyii humo majini. Kwenye ufukwe sawa lakini majini, nimekuwa nguva?