Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
Maliza chuo kwanza dadaangu we bado mdogo sana. Subiri umalize chuo na ukishapata kazi utapata bwana mwenye heshima. Huyo unaemtafuta sahiv we ndo unasoma atakunyanyasa sana.
#busara.za.naantombemushi#
Hilo jina ukikosea kidogo ushatukana