Itaaanza na lugha ya watemi na kutoa habari za Interlacustrine. Itasaidia kupinga mila potofu kwa kutumia lugha ya watemi.
Rwanda, malawi, Uganda na wengineo wanaamini kabisa tv inayorusha lugha ya kitaifa tz ni capital tv tu, hizi steshen zngne kuanzia tbc, star tv, chanel 10, clouds na azam tv wanaamini ni tv za kikabila.
Rwanda, malawi, Uganda na wengineo wanaamini kabisa tv inayorusha lugha ya kitaifa tz ni capital tv tu, hizi steshen zngne kuanzia tbc, star tv, chanel 10, clouds na azam tv wanaamini ni tv za kikabila.
Kwani ukiongea kwenye daladala wewe na wenzako unaona haitoshi hadi utake kutuonyesha nchi nzima kuwa wewe ni mkabira?????Itaaanza na lugha ya watemi na kutoa habari za Interlacustrine. Itasaidia kupinga mila potofu kwa kutumia lugha ya watemi.
Bado hujanishawishii na TV ya kikabila italeta mgawanyiko na siyoo ushirikiano kwenye mambo ya kijamiii...
Wazo la kuanzisha Redio ya kikabila sio zuri,huu ni wakati wa kuuzidisha umoja wetu na sio kuugawa umoja wetu.Hayo mataifa uliyoyataja hapo kuna baadhi ya Wananch wanatamani kuwa WaTz.Rwanda wao wanajitahidi sana kuufuta ukabira na hawataki hata kuusikia hili ni Taifa linalopaswa kuigwa kwa jitihada zake naomba usizungumze ukabira sasa zungumza Utaifa tutakuunga mkono.nia yangu ni kupata maoni yenu juu ya vtuo vya redio na tv kama vina madhara kwa umoja wetu ama laah kwa mtazamo wangu vinatugaw