Ndugu zangu,
Huu sio wakati wa kuwalaumu waislamu au mtu yeyote,(Yesu anasema muwapende adui zenu na muwaombee, Mungu ndie mwenye hukumu ya haki) mwenye macho na atambue ya kuwa, Mwana wa Adamu yu karibu kurudi, huu ni muda wa kutubu, kusali, na kuomba neema kwa Mungu. Na yeyote atakaeliitia...