Naomba ushauri, Huyu dada ananikosesha usingizi!

inawezekana huyo nyapu anakuzimia tu kwahiyo anataka kukurusha roho na kwa staili hiyo hataendelea muda mrefu mlie bati tu,akiona unampotezea ye mwenyewe atazima fegi,usikonde mkuu

Mmege huyo huyo tu. Ukionja mara moja ataona noma kuleta wengine badala yake yeye ndio atakua anaenda kwao. Matter solved,home kwako kutakua tuliii!
 
Umefanya vyema kiongozi,

Usikonde ndio kidunia hivyo, usijekuta huyo mdada 'anauza' kwa sababu ktk muda wa siku 3 umeona ana partners 2 hiyo sio kitoto, nadhani muelekeo ni huo. Hata hivyo usimtilie maanani na maisha yake, wewe simamia mipango ya maisha yako.

Kaka hapa nazidi kukuheshimu, asante sana mkuu, nimepata nguvu na moyo wa kuyapitia haya, kwa maneno yako, yameniongezea ujasiri. Miaka miwili sio mingi yatapita haya na mimi nitakuwa nimepata kilichonileta huku. Abdulhalim heshima mkuu.
 
...kuwa mgumu, akija na mgeni wake na wakianza makele yao usiwasikilize...wewe endelea kubukua zako. Wataacha wenyewe!
 
Jaribu kumsoundisha huyu dem akikaa kwenye kumi na nane zako maliza.Naogopa ukimuacha atadhani wewe si riziki,onesha urijari wako mwana!
 
Ni vigumu kukupa ushauri wa kukutosheleza. Sijui hiyo ngono ys huyo Mpoland na hawara zake inaanza au inakuwa saa ngapi? Kwanza hongera kwa kuwa jasiri kutueleza yanayokusibu. Mimi kwa sasa nipo Finland, Turku University nimefika hapa tarehe 2/9/2009. Vishawishi ni vingi kila mahali na upo ugenini. Cha kukushauri ikiwa hao jamaa wanafanya ngono mchana unaweza muda huo ukaenda zako LIBRARY kuweka nondo kichwani au ukaenda kufanya mazoezi au joging. Pigania maisha yako. Keep in touch.
 
kwani ukimshitaki kwa aliyewapangisha au police itakuwaje? siku waje kukusanya ushahidi kesi itambae
 
mimi sijui umri wako, make hiyo ni issue ndogo ama unamatatizo kiafya? Kwani ukimla na mkaendelea na ujirani mwema tatizo liko wapi? Usiseme eti anapenda ngono, hakuna binadamu timilifu asiyependa ngono swala hapo ni ngono na wakati wake na wakati mwingine kazi kama kawaida.

Ina maana ukioa utakuwa huendi kazini kisa eti umeoa??? Tumia akili kijana?? na linda heshima ya ulijali wako, ebo!!
 
Ni vigumu kukupa ushauri wa kukutosheleza. Sijui hiyo ngono ys huyo Mpoland na hawara zake inaanza au inakuwa saa ngapi? Kwanza hongera kwa kuwa jasiri kutueleza yanayokusibu. Mimi kwa sasa nipo Finland, Turku University nimefika hapa tarehe 2/9/2009. Vishawishi ni vingi kila mahali na upo ugenini. Cha kukushauri ikiwa hao jamaa wanafanya ngono mchana unaweza muda huo ukaenda zako LIBRARY kuweka nondo kichwani au ukaenda kufanya mazoezi au joging. Pigania maisha yako. Keep in touch.

Nashukuru kwa ushauri, ila nilipata nafasi ya kuongea na huyu dada, naamini kutakuwa na amani sasa, na tutaishi vizuri na mwisho kila mtu atapata kile kilichomleta hapa. Tuzidi kuwasiliana ndugu mhache

mimi sijui umri wako, make hiyo ni issue ndogo ama unamatatizo kiafya? Kwani ukimla na mkaendelea na ujirani mwema tatizo liko wapi? Usiseme eti anapenda ngono, hakuna binadamu timilifu asiyependa ngono swala hapo ni ngono na wakati wake na wakati mwingine kazi kama kawaida.

Ina maana ukioa utakuwa huendi kazini kisa eti umeoa??? Tumia akili kijana?? na linda heshima ya ulijali wako, ebo!!

Ni kweli mkuu, ila kiafya niko vizuri tu, ingawa nitajitahidi kusubiri mpaka nitakapo mpata mke wangu kwa wakati maana sio vizuri kuchanganya mabinti, na pia nikiendekeza mapenzi nitafeli masomo, si unajua hawa wenzetu wao wanaweza kufanya mambo yote kwa wakati mmoja kulingana na culture yao, lakini mimi sikukulia katika mazingira hayo hivyo nitajaribu kufuata maadili yangu. Lakini nashukuru kwa ushauri ndugu yangu Magezi.
 
Piga muziki,either loud au vaa headphones. Huyo demu ningekwambia mkwangue lakini kama hana ngoma tayari atakuwa na magonjwa ya zinaa.
 
Jaribu kumsoundisha huyu dem akikaa kwenye kumi na nane zako maliza.Naogopa ukimuacha atadhani wewe si riziki,onesha urijari wako mwana!

Mvina, nitajitahidi kulinda ujirani mwema na pia kulinda maadili mema ya Tanzania katika nchi hii huku ugenini, unajua labda nikuambie kuwa, nilipofika hapa chuoni nilipata mapokezi mazuri sana, karibia kila mtu anayehusika na masomo yangu( kuanzia administrators and hata supervisor wangu), wanaijua Tanzania, na wanaipenda kwa yale mazuri waliyotendewa walipokuwa Tanzania, na hivyo wamefurahi kunipokea na kunipa ushukirikiano, hivyo hiyo image ningependa kuitunza bwana Mvina na sio kuishi kama hawa jamaa, they are so free, but it is their culture anyway, and I don't condemn them too!
 
Piga muziki,either loud au vaa headphones. Huyo demu ningekwambia mkwangue lakini kama hana ngoma tayari atakuwa na magonjwa ya zinaa.

Bluray, nashukuru pia, ila nafikiri kutakuwa na alternatives zingine zaidi ya kumkwangua, asante!
 
Mvina, nitajitahidi kulinda ujirani mwema na pia kulinda maadili mema ya Tanzania katika nchi hii huku ugenini, unajua labda nikuambie kuwa, nilipofika hapa chuoni nilipata mapokezi mazuri sana, karibia kila mtu anayehusika na masomo yangu( kuanzia administrators and hata supervisor wangu), wanaijua Tanzania, na wanaipenda kwa yale mazuri waliyotendewa walipokuwa Tanzania, na hivyo wamefurahi kunipokea na kunipa ushukirikiano, hivyo hiyo image ningependa kuitunza bwana Mvina na sio kuishi kama hawa jamaa, they are so free, but it is their culture anyway, and I don't condemn them too!

Hapa sasa umeanza kuongea kijana weka adabu si lazima umchukue yeye wewe tafuta kitu kikali zaidi yake then uje upige game ukiwa na uhakika kuwa na yeye siku hiyo ni msikilizaji kama si chabo.
Jaribu kupeperusha vema bendera ya TZ. Najua pia kule home ni vigumu kuona mapaja full ya dada zetu ila ukiwa huku mitaa chukulia poa kijana.
 
Nitajitahidi mkuu, haya yote naamini nitayashinda.
 
...kuwa mgumu, akija na mgeni wake na wakianza makele yao usiwasikilize...wewe endelea kubukua zako. Wataacha wenyewe!

Du! hii nayo ni kali. Labda kama mishipa ya fahamu imeota kutu
 
...huo uhodari tutauona baada ya pupwe kuwasili rasmi, ...patakuwa hamna cha bendera wala uzalendo hapo, ...!

BTW; kama mtu ni muadilifu kiasi kwamba unasubiri umpate Mke ndio ufanye 'matusi', unashughulishwaje na hizo kelele za mlango bana?

Kemea tu kwa jina lake YEYE aliye juu mbinguni!
 
ndugu ...just call it like it is...tell your neighbour to keep down...Thye will comply...tell them you are not able to study when they make so much noise ...jirani ata change and will be more respectful..trust me!!
 
Wow what a wonderful and encouraging words! I'm so grateful! Yes!, kuna mtu alinishauri pia nilinde ujirani mwema, na nimezingatia, unajua wakati mwingie dawa ya moto sio moto, inaweza ikawa kuacha kuchochea kuni, kwa maana ya kuwa sio vizuri kufight against but just by being patient and positive...... Finally there will be a break through!
 
Back
Top Bottom