Elections 2010 Kapi la CCM (Dr Slaa) lilivyobadili siasa za upinzani Tanzania

Mwafrika

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,490
226
CCM kama kawaida yao wanachukua the best.

Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga).

Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu wakawaletea makapi, ccm wakayakataa.

Akiwa kama kapi, akaomba kujiunga na chadema.

Chadema kama kawaida ya kuchukua makapi (hata sijui kwa nini walimkataa Mrema), wakamkubali.

Slaa akaingia CHADEMA... amekivunjilia mbali hicho chama.

Ushauri kwa CHADEMA.

Msikilizeni Kiranga (mtaalamu wetu wa siasa), achaneni na makapi ya ccm (kama Dr Slaa).

Haya makapi (kina Slaa) hayana nia nzuri na chama chenu, yanataka kuvuruga upinzani.
 
It's friday y'all .... be blessed (and stay away from "makapi" ya ccm)
 
Najua wengine wanaweza wasikuelewa Mwafrika;

Siamini kuwa kila anayetoka CCM ni kapi. Sidhani kama mtu kama Tambwe atatoka CCM akumbatiwe na CHADEMA au CUF na hata NCCR Mageuzi.

Ni mtizamo wangu tu
 
CCM kama kawaida yao wanachukua the best.

Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga).

Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu wakawaletea makapi, ccm wakayakataa.

Akiwa kama kapi, akaomba kujiunga na chadema.

Chadema kama kawaida ya kuchukua makapi (hata sijui kwa nini walimkataa Mrema), wakamkubali.

Slaa akaingia CHADEMA... amekivunjilia mbali hicho chama.

Ushauri kwa CHADEMA.

Msikilizeni Kiranga (mtaalamu wetu wa siasa), achaneni na makapi ya ccm (kama Dr Slaa).

Haya makapi (kina Slaa) hayana nia nzuri na chama chenu, yanataka kuvuruga upinzani.

The best in what sense?

The best kwa uwizi au upunguani?

Sina taarifa za kuvunjika kwa Chadema!...huh!
 
Siasa za kizamani sana hizo! We need great thinkers here and not people like you man! Tunataka watu wakutushawishi hata kama hatuna nia ya kuchagua chama fulani tuweze kubadili mawazo na kuchagua hicho chama. Hebu toa sasa sera nzuri zenye kutupa haeshima wapiga kura ili tuweze kukipia chama unachoona ni bomba.
 
Kuna mavuvu zela hayajaanza kupuliza hapa baada ya mda utaskia kelele zake jst wait and see...
 
Nadhani huyo ndugu amekosa la kusema . Anyamaze au ni uchovu wa wiki nzima . Wilbroad Peter Silaa thamani yake ni wabunge 120 wa CCM. Ukome kumuita kapi. Uwe na nidhamu hapa jamvini unapozungumzia mambo ya watu waadilifu na Rais wetu. Anaye weka rekodi ya kumtoa ikulu rais aliyemtangulia kabla ya vipindi viwili. I repeat, shut up.
 
kwa sifa zipi mkuu?
 
CCM kama kawaida yao wanachukua the best.

Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga).

Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu wakawaletea makapi, ccm wakayakataa.

Akiwa kama kapi, akaomba kujiunga na chadema.

Chadema kama kawaida ya kuchukua makapi (hata sijui kwa nini walimkataa Mrema), wakamkubali.

Slaa akaingia CHADEMA... amekivunjilia mbali hicho chama.

Ushauri kwa CHADEMA.

Msikilizeni Kiranga (mtaalamu wetu wa siasa), achaneni na makapi ya ccm (kama Dr Slaa).

Haya makapi (kina Slaa) hayana nia nzuri na chama chenu, yanataka kuvuruga upinzani.

Hivi CCM ipi unayodai huwa inachukua the best? CCM yenyewe ni kapi lililojaza mafisi-adi (ambao nao ni makapi, eg RA, EL, Chenge, Karamagi, Makamba, et al) kila kona!
 
CCM kama kawaida yao wanachukua the best.

Slaa alishinda uchaguzi, wakuu wa vyama wakamtosa (wakafuata ushauri wa Kiranga).

Kwa vile Slaa alikuwa kapi, CCM walitaka ngano, wananchi wa karatu wakawaletea makapi, ccm wakayakataa.

Akiwa kama kapi, akaomba kujiunga na chadema.

Chadema kama kawaida ya kuchukua makapi (hata sijui kwa nini walimkataa Mrema), wakamkubali.

Slaa akaingia CHADEMA... amekivunjilia mbali hicho chama.

Ushauri kwa CHADEMA.

Msikilizeni Kiranga (mtaalamu wetu wa siasa), achaneni na makapi ya ccm (kama Dr Slaa).

Haya makapi (kina Slaa) hayana nia nzuri na chama chenu, yanataka kuvuruga upinzani.

hebu tutolee matapishi yako hapa..kama huna cha kuongea kaa nyumbani zungumza na mkeo sio unakuja hapa na arguments zako za kitoto
 
Please please wakuu, mueleweni vizuri mwafrika. Could you people please read between the lines? nadhani huyu katumia fasihi. Nadhani ni ujumbe kwa wale wanaosema 'makapi ya ccm'. If at all Dr. Slaa was / is makapi then we need more of this kind of makapis.
 
nimeamini kuna watu hawanazo na wanadhani wanazo, bro au mama au shemeji , kuwa uyaone, we m2 gani usiyependa mabadiliko? ccm imechakaa 2nataka vifaa vipya , kama una dau kutoka huko kipindi hiki mtatutambua¨! kula hamtatuibia kama vipi mfano wa Kenya tunao. mwelezeni wazi huyo jamaa wenu that this is a new ERA. au siyo :confused2:
 
Please please wakuu, mueleweni vizuri mwafrika. Could you people please read between the lines? nadhani huyu katumia fasihi. Nadhani ni ujumbe kwa wale wanaosema 'makapi ya ccm'. If at all Dr. Slaa was / is makapi then we need more of this kind of makapis.

Inahitaji watu wa tafakuri kumwelewa Mwafrika. thredi hii inampamba Dr Slaa kuwa ni mtanzania aliyekataliwa na CCM mafisadi akaingia Chadema na kukiimarisha chama. Anatoa ujumbe kwa njia ya kuwatania CCM ambao wanadhihaki kila anayetoka CCM. Eti watawasindikiza wanaotoka CCM.

Dr Slaa waliyemkataa amekiimarisha Chadema na upinzani na sasa ni rais mtarajiwa. Mwafrika anatoa ujumbe kuwa jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Inabidi watu wajifunze kusoma na kuelewa kwa kusoma neno kwa neno na pia kwa ujumla wake.
 
Mambo ya Mark Antony I came to bury Ceaser not to praise him,ndio ujumbe?
 
Nadhani huyo ndugu amekosa la kusema . Anyamaze au ni uchovu wa wiki nzima . Wilbroad Peter Silaa thamani yake ni wabunge 120 wa CCM. Ukome kumuita kapi. Uwe na nidhamu hapa jamvini unapozungumzia mambo ya watu waadilifu na Rais wetu. Anaye weka rekodi ya kumtoa ikulu rais aliyemtangulia kabla ya vipindi viwili. I repeat, shut up.
Unavyoamini wewe ndo anavyoamini mtoa mada, ila ametumia fasihi sana kiasi kwamba usipokuwa makini sana ni vigumu kumwelewa. Kuna usemi usemao jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni! Ndio maana ya kapi kuwa na umuhimu kuliko ngano yenyewe!
 
KATUNI(252).jpg
 
Back
Top Bottom