uuuuuuuuuuwi ...uuuuuuuuuuuuuuwi ushauri wako ni up bwana sipo
Firstlady1 ushauri unao wewe pia nikitoa mimi tunabaki na ile ile hali ya tumsubiri Mzee Mwanakijiji, Dr. Silaa, Zitto, Mwakyembe na wengineo wengi watupe mikakati ya nini tufanye. Ushauri ni tuache UFISI kula mizoga na mifupa na kutoka kuliondoa taifa hapa. Tuende kwa wananchi wengine tuwaambie kuwa tunataka madini, ardhi, maji, na rasilimali nyingne zitumike kwa manufaa ya nchi yetu. Aibu Tanzania kulia na shida ya umeme wakati maji yalikuwepo, mitambo ipo, pesa zimeliwa. Halafu kila siku tunakuja na mada i trust in somebody, why dont you trust yourself na kutoka uko kwenye shimo la utupu na kuisogeza hii nchi hapo nyingine ziliposogea. Hivi mnafikiri kwa ukondoo huu na ubundi huu tutatoka kweli wandugu. Hatutoki tutakaa na Richmond yetu n a wenzenu wakistaafu kwa vigezo vya umri na manufaa ya umma inatusaidia nini? Angrrrrriiiiii! Wuuhiii! Wuuuhiii!uuuuuuuuuuwi ...uuuuuuuuuuuuuuwi ushauri wako ni up bwana sipo
Magezi, ni kweli ni wakati wa mabadiliko tena sana kuliko wakati mwingine wowote. Mchungaji Mtikila alisema hivi hivi watu wakamuona insane, hafai, amechanganyikiwa, hana dili, maisha yamemshinda, sijui nini na nini. Sasa tutoke kwa nia moja kabisa tuende kwenye nchi uko tuongee na wananchi wenzetu tuwaambie kuwa tunataka nchi yetu isogee na iende mbele kama nchi nyingine zilizosonga mbele. Tuache kupigiwa taarabu na kunyanyua vidole juu na kucheza wakati kuna wenzako uko wanakuchungulia na kukutafunia kile kilicho chako wakati wewe unakenua. Mbona tuna majirani wetu wana sheria kali kabisa hakuna kiongozi kukaa na kufanya unyambizi wakati wananchi ndio wamemweka pale.time for change is now.
umeme wa IPTL zaidi ya bilioni ishirini kwa mwezi ndio ubunifu bwana mdogo sio? Uuuwiiiiiiiiiiiiiiii! Uuuuwiiiiiiiiiiiiiiii! Uwiiiiiiiiiiiiiiiiii!viongozi ni wabunifu mno na watanzania kazi yao kama ulivyosema Watanzania uuuwi! uuuwi! uuwi!
Nipe muda ndugu yangu, nitakuja. Ngoja kwanza nisukume mabox.Jasusi, Kibunango, Madela wa Madilu, Ngalikihinja, Ngambo Ngali, agwajima, Invisible, MM, Fidel80, Masanilo, Nyamayao, Mwanajamii1, WOS, Chrispin, Geoff na wanajamii wote Uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiii! Uuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Uuuuuuuuuuuwwiiiiiiiiiiiiiiiiii! Mko wapi mmekaaaaaaaaaaaa kimya mimi nalia machozi ya uchungu haya siyo machozi ya kunogewa na mapenzi haya ni machozi kutoka ndani ya moyo wangu yakililia rasilimali na umasikini unaowakumba wananchi wakati MUNGU katupa na kutupa na kuturehemu na kuturehemu lakini leo tunalala giza! Hivi tulipewa rasilimali halafu tukanyimwa akili au ikoje hiii? Mimi sielewi lakini leo nalia kwa uchungu na machozi yangu ndani ya kijumba changu hiki yatakuwa juu yenu wote mliopewa dhamana ya kulinda rasilimali lakini leo tunakufa na njaa kila kona ya nchi>. Eti Tanzania inaomba chakula nje y nchi wakati ardhi yake yenye rutuba huko Bagamoyo, Kisarawe, Kilombero, Mbarali, na kwingineko inalimwa mibono kaburi<jatropha>. Leo nalia na nyie mnaosoma mada hii manapuuzia kilio changu cha kusaga meno kwa ajili ya Watanzania tuliokata tamaaaa! Uuuuuuuuuwiiiiiiiii! Uuwiiiiiiiiiiiiiii! UuuuuuuuuuuuWiiiiii! Wewe Companero, Rev. Kishoka, Nguli, Julius, Shishi, Pretty, Chamchana, FM, Firstlady, Belo, MTM, Yo Yo, Kyayakiche, Preacher, Sumji, Nono, Katabazi, Joe, Uwiiiiiiiiiiiiii! Uuuuuuwiiiiiiiiiiiii
Hamlii pamoja nami leo lakini kuna siku inakuja
time for change is now.
Jasusi, Kibunango, Madela wa Madilu, Ngalikihinja, Ngambo Ngali, agwajima, Invisible, MM, Fidel80, Masanilo, Nyamayao, Mwanajamii1, WOS, Chrispin, Geoff na wanajamii wote Uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiii! Uuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Uuuuuuuuuuuwwiiiiiiiiiiiiiiiiii! Mko wapi mmekaaaaaaaaaaaa kimya mimi nalia machozi ya uchungu haya siyo machozi ya kunogewa na mapenzi haya ni machozi kutoka ndani ya moyo wangu yakililia rasilimali na umasikini unaowakumba wananchi wakati MUNGU katupa na kutupa na kuturehemu na kuturehemu lakini leo tunalala giza! Hivi tulipewa rasilimali halafu tukanyimwa akili au ikoje hiii? Mimi sielewi lakini leo nalia kwa uchungu na machozi yangu ndani ya kijumba changu hiki yatakuwa juu yenu wote mliopewa dhamana ya kulinda rasilimali lakini leo tunakufa na njaa kila kona ya nchi>. Eti Tanzania inaomba chakula nje y nchi wakati ardhi yake yenye rutuba huko Bagamoyo, Kisarawe, Kilombero, Mbarali, na kwingineko inalimwa mibono kaburi<jatropha>. Leo nalia na nyie mnaosoma mada hii manapuuzia kilio changu cha kusaga meno kwa ajili ya Watanzania tuliokata tamaaaa! Uuuuuuuuuwiiiiiiiii! Uuwiiiiiiiiiiiiiii! UuuuuuuuuuuuWiiiiii! Wewe Companero, Rev. Kishoka, Nguli, Julius, Shishi, Pretty, Chamchana, FM, Firstlady, Belo, MTM, Yo Yo, Kyayakiche, Preacher, Sumji, Nono, Katabazi, Joe, Uwiiiiiiiiiiiiii! Uuuuuuwiiiiiiiiiiiii
Hamlii pamoja nami leo lakini kuna siku inakuja
Umenena Vyema kuwa change is inevitable hata Bibi yangu hapa kutoka kondeni amekuja amenikuta nikilia na kuomboleza akajua nimefiwa ndio namweleza kisa cha mimi mjukuu wake kulia. Kaniunga mkono kasema wao wenyewe hawakukunyaga shule lakini barabara iliyojengwa na mbumbumbu Babu yangu ndio mpaka leo inatumika hapa kijijni. Anasema ndio maana hata yeye siku hizi hapigi kura tena kwasababu haoni jipya tena. Bibi ameniongezea machungy Ngambo Ngali hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Nichane kitambulisho changu kama toka Babu yangu ajenge barabara hakuna mpaya iliyojengwa na hii ndio imeharibika hadi mwisho. Machozi yangu hayatokauka kama hatutotoka kwenye viti na kwenda kupambana na kutafuta suluhisho la kudumu. Uuuuuuwiiiiiiiii! Uuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!Change is inevitable wahenga walisema no situation is permanent, kilio chako kimesikika, nyamaza, futa machozi na kujiuliza ni wapi tumekosea halafu plan for the future, basi
Umenena Vyema kuwa change is inevitable hata Bibi yangu hapa kutoka kondeni amekuja amenikuta nikilia na kuomboleza akajua nimefiwa ndio namweleza kisa cha mimi mjukuu wake kulia. Kaniunga mkono kasema wao wenyewe hawakukunyaga shule lakini barabara iliyojengwa na mbumbumbu Babu yangu ndio mpaka leo inatumika hapa kijijni. Anasema ndio maana hata yeye siku hizi hapigi kura tena kwasababu haoni jipya tena. Bibi ameniongezea machungy Ngambo Ngali hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Nichane kitambulisho changu kama toka Babu yangu ajenge barabara hakuna mpaya iliyojengwa na hii ndio imeharibika hadi mwisho. Machozi yangu hayatokauka kama hatutotoka kwenye viti na kwenda kupambana na kutafuta suluhisho la kudumu. Uuuuuuwiiiiiiiii! Uuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!