Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,377
Lahaula hao ndo KUKU wa KIENYEJI mkubwa hahaha
Kwa nini amuulize demu kalitoa wapi badala ya kujiuliza mwenyewe kalitoa wapi? Inawezekana dada wa watu anakuwa muhanga wa unyanyapaa wa kijinsia. Yeyote anaweza kuwa ni chanzo cha huo ugonjwa. Kama wanadhani biashara yao bado ni imara watibu majeraha na kusonga mbele. Yeyote kati yao akisema lilikotoka itakuwaje?
Mkuu Mbu, Mapenzi yasiyokuwa na uaminifu kati ya wapendanao siku zote hayadumu. Badala ya huyu kijana kupoteza muda wake na huyu binti ambaye si mwaminifu na anaweza tena kurudia alichokifanya ni bora tu aingie mitini na kuanza kutatafuta upya.
Achana nae si mwaminifu huyo............
Achana nae si mwaminifu huyo............
Labda wamependana sasa swala la kujiuliza hilo gonjwa amelipataje?
Kama vp wakapime wote nani kamwambukiza mwenzie maana unaweza kuta aliambukizwa kwa njia ya hewa au kushare vitu huwezi jua.
Labda wamependana sasa swala la kujiuliza hilo gonjwa amelipataje?
Kama vp wakapime wote nani kamwambukiza mwenzie maana unaweza kuta aliambukizwa kwa njia ya hewa au kushare vitu huwezi jua.
kwani jamani mnataka kusema mchumba wako sio mwaminifu au magonjwa mengine yanaambukizwa tu hata bakteria ,kwa sie ladies unaweza enda toilet hasa hizi za kukaa kama kuna mtu katoka hapo na ameacha wadudu na wewe unakuwa hatarini kuambukiwa ( au ni ugonjwa wa kujamiiana tu huu)????🙁
Homeboi hii yako kali......kisonono kuambukizwa kwa njia ya hewa?
Wenye hatari ya kuambukizwa gono kwenye vyoo vya kukaa ni wanaume. Kawaida mwanaume akiwa amekalia ile toilet seat ana-push, uume huwa inagusa kingo za hiyo choo kwa ndani, na tena balaa zaidi huwa inasimama. Kama kuna mwanaume mwengine mwenye gono ya discharge alikaa hapo kabla na kugusisha uume yake, basi anaacha hizo discharge hapo, wengine wakija wanagusana nazo. Bahati mbaya zaidi hizo kingo za choo ni zile sehemu ambako maji ya flush hayafiki. Njia pekee ya kuhakikisha choo kama hizo ni safi ni kwa kila anayeingia kusafisha choo kwa antiseptic na brush kabla hajatoka, jambo ambalo kamwe halifanyiki.
Mwanamke akikaa kwenye hiko choo, nanihii yake inaelekea moja kwa moja tunduni na haigusani na seat ya choo. Yeye sanasana ni kwenye makalio na mapaja ambayo kawaida yanakalia ile sehemu kavu ya toilet seat, so hakuna risk, isipokuwa labda kwa magonjwa ya ngozi kama fungus nk.
Ila pia kuna tatizo moja, kama mzigo ni mkubwa unapotumbukia mle ndani unasababisha splash ya maji yanarukia kwa anus au uke. Hapo ndio mwanamke anakuwa na risk, lakini hata wanaume hapo nafikiri kuna risk sana, imagine unakaa kwa choo halafu splash ya maji chafu inakurukia kwa anus, hata ukifuta kwa toilet paper inazidi kupakaza, labda unawe kwa sabuni kabisa.
Mkuu Mbu, Mapenzi yasiyokuwa na uaminifu kati ya wapendanao siku zote hayadumu. Badala ya huyu kijana kupoteza muda wake na huyu binti ambaye si mwaminifu na anaweza tena kurudia alichokifanya ni bora tu aingie mitini na kuanza kutatafuta upya.
kaka...'mkuki huo!',...ingekuwa Mume kamletea mkewe UKIMWI, mngemshauri Mke aachane na mumewe?
Labda wamependana sasa swala la kujiuliza hilo gonjwa amelipataje?
Kama vp wakapime wote nani kamwambukiza mwenzie maana unaweza kuta aliambukizwa kwa njia ya hewa au kushare vitu huwezi jua.