Recent content by Zuckerman

  1. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Nadra sana kukuta mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 hajaolewa halafu akawa "wife material"

    Kuna mwanamke kule kisiwani unguja kaolewa ndoa tatu ,aliolewa akiwa bado binti vipi alikuwa wife material au
  2. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

    Kuna wale vijana walikuwa wanaangalia mpira Mwanza wakauawa wote au na wale vijana wa team ya mpira
  3. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

    Akienda kuhiji tu pepo yake dhambi zote zinafutwa
  4. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Rosemary sio kocha Hivi lile bonanza la club world cup waliwafungaje PSG
  5. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Me kiukweli alinambia ukweli alitembea na mwanaume mmoja tu na nilimuelewa Mkuu ni kitu ambacho wanaume wengine kinatuuma tunapotezea tu lakini wengi tulitamani tuwe wa kwanza kwa wake zetu kama mpango wa Mungu ulivyo Kingine nimegundua kwa sasa wanaume wengi hawana time ya kuangalia past ya...
  6. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Iran strikes Saudi Arabia’s major oil refinery

    Mara paap wamekosea wamepiga Al Kaaba
  7. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

    Hata Osama walidai wamemuua kumbe bado yupo hai
  8. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Shangwe, nderemo na vifijo vyatawala Iran baada Ayatollah na viongozi wakubwa jeshini kuuawa chini ya saa 12 tangu mashambulizi yaanze

    Ayatollah hajafa Mbona hata Osama wanasema kafa ila hajafa
  9. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Viungo hawana ubunifu ni sideways pass tu hata kupiga pass wanazidiwa mbali na Lisandro Martinez
  10. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ukiwa na viungo wa hivi ni halali kutegemea set pieces
  11. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mbadilike kenge nyie team inategemea set piece na kuwazuia makipa kwenye kona
  12. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    Wakuu hawa Morocco ndio waliorika nusu fainali WC au mbona wa kawaida
  13. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Mkuu kwanini aliruhusu hivyo vingine vichezewe au alishindwa kuvilinda
  14. Zuckerman

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Maandamano kesho yanaendelea

    Wanaungua na jua waoneeni huruma wakuu ,mi leo kuna sehemu walinambia hebu pita usituchoshe hapa
Back
Top Bottom